Alikiba amfananisha Diamond na "Mwanamke"

Alikiba amfananisha Diamond na "Mwanamke"

Ana majibu ya hovyo sana. Ambayo diamond ikitokea kajibu hivo hukuzwa mara milion ili tu aonekane mbaya.
si ndo hivyo...
lakini alikiba hajui kujieleza kwanza,hajui kujibu.. ana shombo mno yani anajikweza kupita maelezo
 
Si mseme tu mnatafuta kiki?
Kwani bila kutajwa Kiba & Mond maisha hayasongi?
Bila kuwataja nguli hao media zenu zinafulia au?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio ile nawaambia walichoniambia wanakimbilia police
 
Madale mnapenda sana kulia lia ili muonewe huruma....na nyie fanyeni interview kwenye radio yenu
 
Madale mnapenda sana kulia lia ili muonewe huruma....na nyie fanyeni interview kwenye radio yenu
Huwezi kumfananisha Diamond na Ali Kiba, Diamond yuko mbali sana.

Na kwa ushamba huu wa Kiba hata sisi tuliokuwa na sympathy kwake tunampa mkono wa kwaheri ya kuonana.
 
Huwezi kumfananisha Diamond na Ali Kiba, Diamond yuko mbali sana.

Na kwa ushamba huu wa Kiba hata sisi tuliokuwa na sympathy kwake tunampa mkono wa kwaheri ya kuonana.
Ndugu, huyo mtoa mada anapotosha watu hapa jukwaani. Nimeangalia mahojiano hayo wala hakumaanisha hivyo, na hiyo Tweet aliyoambatanisha haina maana ya hicho anachosema. Jamaa alikuwa anatoa mifano mbalimbali ya namna watu wanavyosalimiana kwa aina tofauti tofauti. Na kama mtoa mara angalikiwa na mengi auto angaliambatanisha na tweets za nyuma kabla ya hiyo. Kiufupi ndoa mara ni mchonganishi!
 
Wcb wamejipanga sana...
Screenshot_20180511-161102.jpg
 
Back
Top Bottom