Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wewe ni me au ke?Humu ndani hakuna anaejua uhalisia wala jinsia yangu, sasa nashangaa kila mtu anataja jinsia ambayo yeye anahisi, na by the way a don't take serious couz sipo humu kutangaza jinsia yangu. Kwahyo wee utakavyo amini kulingana na maneno ya watu bas juu yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] npo simple sanaaaaah tena sanaaaah, by the way wala hainiumi kwa hii kashfa yako, hebu relaaaaaaaaaaaaaaaaaaaax.Chapati samaki huyo.
Ndo nan huyooooh? Mbna mie simjui na sijawahi msikia tangu ni sign in, pia sina ID 2 humu, khaaaaaaaahSana.
Nina wasiwasi atakuwa ndiye yule Rayyoungr.
Kwan unatak kujua jinsia yangu ili iweje? HuhuhuhuhWewe ni me au ke?
I am interested in you, ila nitakuwa nimejikosea adabu nikiwa interested na dume mwenzangu.Kwan unatak kujua jinsia yangu ili iweje? Huhuhuhuh
By the way sihitaji interest na mtu, poleeee sana,I am interested in you, ila nitakuwa nimejikosea adabu nikiwa interested na dume mwenzangu.
Tufunge mjadalaBy the way sihitaji interest na mtu, poleeee sana,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]HEADING ISOMEKE IVI Mond na mashabiki zake kwenye meza moja
Sio lazima wee kujua jinsia yangu. Na haikuhusuTufunge mjadala
Are u me or ke?
Something is not okay with you.Sio lazima wee kujua jinsia yangu. Na haikuhusu
So?Something is not okay with you.
Mzee nahisi upo ulimwengu tofauti, kukuelewesha wewe inahitaji chaki na ubaoMhhh chochote kinacho wahusu wao??? Asa mbona matangazo ya peps na parmatch yanarushewa???
Bado aujajibu swal mkuu???Mzee nahisi upo ulimwengu tofauti, kukuelewesha wewe inahitaji chaki na ubao
Hata Marekani kwenyewe wapo mastaa ambao hawana views M200 , sembuse bongoWasanii ambao hawana hats views mil 200 kwa nyimbo moja wasanii wavijijin tu
Hata me nilokuwa na mawazo Kama yako jamaa atakuwa ndio huyo huyoSana.
Nina wasiwasi atakuwa ndiye yule Rayyoungr.
Hata Marekani kwenyewe wapo mastaa ambao hawana views M200 , sembuse bongo