Alikiba kawakataza Kings Music kufanya interviews Wasafi Media?

acha umbea wewe.yaani umekaa ukajitungia mawazo yako kichwani kisha ukahitimisha.

sema ni lini kiba amewakataza vijana wake wasifike hapo???
huyo diamond pamoja na nyinyi kusema amefanikiwa sana,yeye kutwa kujieleza either kwa vijembe au mafumbo kwamba yeye ni mkali,sijui ana wasi wasi wa nini???

kiba anaishi maisha yake yanayomfaa yeye,kama kufanya interview wasafi ndio njia ya kufanikiwa kimziki basi wasanii wengi tu wangeishapotea.
 
mwishoni mtasema beef hilo ndio limepa mimba tanasha,yaani soga za wabongo bana.
We unafikiri hyo Kiba anataka kukaa Sawa na diamond
Au diamond anataka kukaaa Sawa na kiba
Hapana.....wote hzo tofauti zao ndy zinaweka kwenye soko

Ova
 
Beef linakuja sababu mond ana mafanikio zaid yake
kwanini kiba ndiye aonekane kukerwa zaidi na hayo mafanikio wakati kuna wasanii zaidi ya 50,wao hawakereki????

na je mmejuaje alikiba anahitaji kufanikiwa kama mond,kuwa na mabodyguards nk!!!
 
We unafikiri hyo Kiba anataka kukaa Sawa na diamond
Au diamond anataka kukaaa Sawa na kiba
Hapana.....wote hzo tofauti zao ndy zinaweka kwenye soko

Ova
mond anapovunja records iwe youtube au katika tamasha hujipiga kifua akimrefer huyo wanayemwita mpinzano wake.

lakini je,kuna siku yoyote kiba amejaribu kujibu???
 
Asiyejua maana usimpe maana,kwani hata ukimpa ataona kama una mtukana na hamna mwalimu mzuri kama muda na kizuri kitaonekana kwani mda wake ushafika kizuri hiko kuonekana.
 
Ndio maana instagram yake Hana watu Alio wafuata hata mmoja
 
Asiyejua maana usimpe maana,kwani hata ukimpa ataona kama una mtukana na hamna mwalimu mzuri kama muda na kizuri kitaonekana kwani mda wake ushafika kizuri hiko kuonekana.
huwa naona ni upumbavu sana kuamini Kiba anatakiwa awe kama Mond!!!kwani mond ana kasoro gani mpaka asitoshe???

kama amefika peak kuliko yeyote ni jabo zuri,acha wengine nao waishi wanavyoona inafaa.na ni ujinga kuamini kiba anashindana na mond kwa namna anavyofanya mambo yake.
 
mond anapovunja records iwe youtube au katika tamasha hujipiga kifua akimrefer huyo wanayemwita mpinzano wake.

lakini je,kuna siku yoyote kiba amejaribu kujibu???
As long wote wanafanya vzuri mpaka Sasa

Ova
 
Sio sisi kusema kafanikiwa hata wewe unajua kuwa kafanikiwa sana “huo unafik ndo tunaukataa”
 
eti kiba hana mafanikio kama mond,sijui mafanikio kwa watu wengine ni kitu gani[emoji16][emoji16][emoji16].
Mi binafsi naona wote wanamafinikio
Sasa sjui mafanikio gani mashabiki wanayotaka wayaone

Ova
 
Sio sisi kusema kafanikiwa hata wewe unajua kuwa kafanikiwa sana “huo unafik ndo tunaukataa”
ukiniona mnafiki mimi nakuona mjinga.

unajua ni kwanini???kiba anazo pesa,kiba anazo gari,kiba anazo nyumba,kiba ana familia na ndoa kafunga.

kama kufanikiwa kwa diamond ni kumzidi kiba si diomond pekee aliyemzidi kiba sawa kijana???kwa kukosa hoja kwa namna hii ndio kunakofanya mnakuja na mitazamo yenu humu,iwe ndio hali halisi.
 
TV stations ziko nyingi, Radio stations ziko nyingi. Kwa nini hamuhoji ajaenda TBC
Suppose kungekua na TV stations 20 nchini zinazodeal mainly na music ina maana kila akitoa nyimbo azunguke kote kufanya interview?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…