Alikiba kawakataza Kings Music kufanya interviews Wasafi Media?

Alikiba kawakataza Kings Music kufanya interviews Wasafi Media?

kama ni msikilizaji wa wasafi radio au ukibahatika kutazama tv ya wasafi utagundua hilo, kuna kipindi kinaitwa block 89 sometimes watangazaji wanaweza wakaingizia story za kiba au kings music kwa uzuri kabisa (in apositive way) na dj anacheza ngoma zao utazani hakuna chochote kilichopo, ukifatilia mazungumzo yao kwa makini na busara utagundua kuwa kuna nguvu ya upande wa pili inayotumika either kutoka kwa kiba au meneja wake ili vijana wake wasiende pale na wasafi wanafanya kila jitihada wawepo pale ila wanaishia kuzungushwa. Fatilia hiyo media na vipindi vyake utagundua kitu.
acha umbea wewe.yaani umekaa ukajitungia mawazo yako kichwani kisha ukahitimisha.

sema ni lini kiba amewakataza vijana wake wasifike hapo???
huyo diamond pamoja na nyinyi kusema amefanikiwa sana,yeye kutwa kujieleza either kwa vijembe au mafumbo kwamba yeye ni mkali,sijui ana wasi wasi wa nini???

kiba anaishi maisha yake yanayomfaa yeye,kama kufanya interview wasafi ndio njia ya kufanikiwa kimziki basi wasanii wengi tu wangeishapotea.
 
mwishoni mtasema beef hilo ndio limepa mimba tanasha,yaani soga za wabongo bana.
We unafikiri hyo Kiba anataka kukaa Sawa na diamond
Au diamond anataka kukaaa Sawa na kiba
Hapana.....wote hzo tofauti zao ndy zinaweka kwenye soko

Ova
 
We unafikiri hyo Kiba anataka kukaa Sawa na diamond
Au diamond anataka kukaaa Sawa na kiba
Hapana.....wote hzo tofauti zao ndy zinaweka kwenye soko

Ova
mond anapovunja records iwe youtube au katika tamasha hujipiga kifua akimrefer huyo wanayemwita mpinzano wake.

lakini je,kuna siku yoyote kiba amejaribu kujibu???
 
Asiyejua maana usimpe maana,kwani hata ukimpa ataona kama una mtukana na hamna mwalimu mzuri kama muda na kizuri kitaonekana kwani mda wake ushafika kizuri hiko kuonekana.
 
Asiyejua maana usimpe maana,kwani hata ukimpa ataona kama una mtukana na hamna mwalimu mzuri kama muda na kizuri kitaonekana kwani mda wake ushafika kizuri hiko kuonekana.
huwa naona ni upumbavu sana kuamini Kiba anatakiwa awe kama Mond!!!kwani mond ana kasoro gani mpaka asitoshe???

kama amefika peak kuliko yeyote ni jabo zuri,acha wengine nao waishi wanavyoona inafaa.na ni ujinga kuamini kiba anashindana na mond kwa namna anavyofanya mambo yake.
 
mond anapovunja records iwe youtube au katika tamasha hujipiga kifua akimrefer huyo wanayemwita mpinzano wake.

lakini je,kuna siku yoyote kiba amejaribu kujibu???
As long wote wanafanya vzuri mpaka Sasa

Ova
 
acha umbea wewe.yaani umekaa ukajitungia mawazo yako kichwani kisha ukahitimisha.

sema ni lini kiba amewakataza vijana wake wasifike hapo???
huyo diamond pamoja na nyinyi kusema amefanikiwa sana,yeye kutwa kujieleza either kwa vijembe au mafumbo kwamba yeye ni mkali,sijui ana wasi wasi wa nini???

kiba anaishi maisha yake yanayomfaa yeye,kama kufanya interview wasafi ndio njia ya kufanikiwa kimziki basi wasanii wengi tu wangeishapotea.

Sio sisi kusema kafanikiwa hata wewe unajua kuwa kafanikiwa sana “huo unafik ndo tunaukataa”
 
eti kiba hana mafanikio kama mond,sijui mafanikio kwa watu wengine ni kitu gani[emoji16][emoji16][emoji16].
Mi binafsi naona wote wanamafinikio
Sasa sjui mafanikio gani mashabiki wanayotaka wayaone

Ova
 
Sio sisi kusema kafanikiwa hata wewe unajua kuwa kafanikiwa sana “huo unafik ndo tunaukataa”
ukiniona mnafiki mimi nakuona mjinga.

unajua ni kwanini???kiba anazo pesa,kiba anazo gari,kiba anazo nyumba,kiba ana familia na ndoa kafunga.

kama kufanikiwa kwa diamond ni kumzidi kiba si diomond pekee aliyemzidi kiba sawa kijana???kwa kukosa hoja kwa namna hii ndio kunakofanya mnakuja na mitazamo yenu humu,iwe ndio hali halisi.
 
TV stations ziko nyingi, Radio stations ziko nyingi. Kwa nini hamuhoji ajaenda TBC
Suppose kungekua na TV stations 20 nchini zinazodeal mainly na music ina maana kila akitoa nyimbo azunguke kote kufanya interview?
 
Back
Top Bottom