Alikiba kawakataza Kings Music kufanya interviews Wasafi Media?

duh sjui shule znafunguliwa lini mtuachie jukwaa letu!!?

kiba hajawahi kushuka kimuziki toka aanze
domo kamkuta kiba teari ni super 🌟
kiba katoa ruhusa domo arekodi wimbo wake wa 1
#kiba anakwepa sana maswali ya kijinga kumlinganisha na mtu yoyote yule
sio mtoa vijembe kwa watu

inaonekana domo na misukule wake hawawezi kuishi muziki bila ya kiba
mnaamua kutengeneza bifu feki ili msipotee maskioni mwa watu

wasafi media Kwan haiwezi kuwapo bila kingsmusic?

mbaya sana unagombana /unamchukia mtu af unae mchukia hana time na wewe vile mtu hu feel ndivyo wasafi wanaskia
 

Hatupo hapa kutoana mapovu ni kueleweshana tu kama wadau wa muziki, sasa huyo domo ndo nani kiongozi? punguza chuki kwa Diamond. Huyo msanii wako sio malaika kusema hakosei anakosea sana na akikosea haambiwi ila mnaishia kumsifia tu which is wrong. Mafanikio ya Diamond yanachangiwa na kuambiwa ukweli na kujishusha kwa watu wengine. Endeleeni kumdanganya Kiba mnazidi kumpoteza jamaa.
 
Wewe wasema si mimi na siku zote hamna mwalimu mzuri kama muda na muda huwaga haumsubiri mtu na hamna ukweli mzuri kama ule unaokuchoma.
 
diamond anajishusha wapi[emoji16][emoji16][emoji16].
huyu wa mabaunsa mwenye hulka za makonda??
hivi nyinyi mna kitu gani kichwani??mtu akikaa kwenye class yake anajisikia,akiishi kawaida wa uswazi.
 
muda uko na kiba toka 2006,uko na diamond pia toka 2009,wala si ajabu yeyote kati yao akiachana kabisa na musiki hapo.
Ukipenda chongo huona kengengeza,women lie men lie but numbers don't lie.
 
kakosea kitu gani?
kiba hana ishu na mtu ila nyie hamuwezi kuishi bila yeye si mumkaushie tuu kwan anawanunulia chakula?
clouds haichezi nyimbo za domo kwan unaskia tena domo au clouds wanaliongelea hilo?

anyway ule ni uwamuzi wake kwa nini usieshimiwe?

kama wewe ni shabiki wa domo poa pambana nae
kama sio shabiki wa kiba temana nae mbona simple tuu

naona kama unaingilia yasokuhusu utakonda bure kwa mawazo usijipe maumivu yasokuepo mdogo wangu.
 

sio kwa povu hilo kiongozi wangu hapa hatumzungumzii domo tunamzungumzia Diamond na kiba.
 
TV stations ziko nyingi, Radio stations ziko nyingi. Kwa nini hamuhoji ajaenda TBC
Suppose kungekua na TV stations 20 nchini zinazodeal mainly na music ina maana kila akitoa nyimbo azunguke kote kufanya interview?
Shangaa na wewe
 
KIBA nyooooooooooooo"

malizia jitukane kabisa"

Na ahakikishe hapatani na diamond ila siku akajiloga akapatana na mwenzake KESHO yake atakuta kashakatiwa ticket za kurudi shamba kulima.

UGOMVI huu mnufaikaji ni ALIKIBA tena anapata faida kubwa sana sana sana..and he knows that...The only thing Mond can do ni kuhakikisha haendelezi bifu..yani ampende hadi raia washangae..anaekuchukia dawa yake usijishughulishe nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…