Alikiba kawakataza Kings Music kufanya interviews Wasafi Media?

WCB mbona wanafanya vzr tu kwenye music... sjui Ali kiba wanamtaka wa nini?
Wajinga bhana
 
kwanini kiba ndiye aonekane kukerwa zaidi na hayo mafanikio wakati kuna wasanii zaidi ya 50,wao hawakereki????
na je mmejuaje alikiba anahitaji kufanikiwa kama mond,kuwa na mabodyguards nk!!!
Mkuu hawa watu kuna siku mond atawawekea soksi chafu mdomo awambie waziteme zikiwa safi..
Ujinga na kuabudu watu kumewajaa
 
Malimbukeni tu hao mkuu
 
TV stations ziko nyingi, Radio stations ziko nyingi. Kwa nini hamuhoji ajaenda TBC
Suppose kungekua na TV stations 20 nchini zinazodeal mainly na music ina maana kila akitoa nyimbo azunguke kote kufanya interview?
Wao wanataka aende Wasafi sjui wanataka wamfanyeje?..
 
ulivyoandika utafikiri PA wa kiba
 
Kama Wana magari,nyumba etc hyo mafanikio tosha sasa sjui hao mashabiki wanataka nn zaidi
Maana kuna wasanii wanaimba hawana mafanikio +hawadumu kwenye game
Ova
Wao shida yao ni Kiba tu.. kama kawabakia dada zao
 

na diamond kazidiwa na wengine wengi tu....wala hao waliomzidi hawajamtafuta awe nao karibu ili awafikie
 
Kiba hajaanza mziki leo na hawezi kupotea kwa kusema wewe ndugu...
hii zero yako ya Mjini Magharibi nenda karist paper
 
Kiba anajishughulisha na Mond?... mbona mnajinyea hv.
Mond ndio amemtoa Ali kimziki?.. Mond ndio kila kitu nchi hii?.. ndio mgawa riziki?... Shwain kabisa
 
Kwani ulize wasafi tu je ushawaona wakijitambulisha tbc fm,RFA au jembe ni jembe we umeona wasafi tu.Au hiyo wasafi fm iliku inform kuwa walisha wahi kuwaalika hao madogo wakakataa..
Achana nao hao miungu watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…