S scolastika JF-Expert Member Joined Jan 26, 2019 Posts 3,863 Reaction score 5,719 Jun 19, 2023 #41 Ila jamaa anajua jamani,huwa hanichoshi kwa bongo ndo msanii nasikiliza nyimbo zake basi Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Ila jamaa anajua jamani,huwa hanichoshi kwa bongo ndo msanii nasikiliza nyimbo zake basi Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Jun 21, 2023 #42 Kumtabiria Alikiba kufa kimziki sio rahisi jamaa anajua sana na namuona hata baada ya miaka 10 mbele akiwa pale pale Coz toka mwanzo alichagua kufanya muziki tu ma sio drama za maisha yake hivyo muziki wake ndio unambeba kwa asilimia kubwa
Kumtabiria Alikiba kufa kimziki sio rahisi jamaa anajua sana na namuona hata baada ya miaka 10 mbele akiwa pale pale Coz toka mwanzo alichagua kufanya muziki tu ma sio drama za maisha yake hivyo muziki wake ndio unambeba kwa asilimia kubwa
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,893 Reaction score 4,641 Jun 21, 2023 #43 The Boss said: Niliwahi ona clip Ali Kiba anaimba bila beat ule wimbo Sijawahi ona mwanamuziki anaimba bila beat Tz nikafurahia zaidi ya Ali Kiba na Christia Bella Click to expand... Ile ilikua balaa, niliiona pia
The Boss said: Niliwahi ona clip Ali Kiba anaimba bila beat ule wimbo Sijawahi ona mwanamuziki anaimba bila beat Tz nikafurahia zaidi ya Ali Kiba na Christia Bella Click to expand... Ile ilikua balaa, niliiona pia