Oluwa ni
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 717
- 445
Kiukweli jamaa wamechemka sema wabongo wengi wanaroho mbaya yan mtu anaina bora mbongo mwenzake akose eti sababu ya miteam, Kama uliingia asubuhi mpaka mida ya saa saba mchana kwenye web ya mtvema yenye washindi kulikuwa kuna alama ya mstari mwisho kwa huo mstari kuna nembo ya mtv kwenye category zote. So kwa best african act hiyo alama ilikuwa ipo kwa kiba sasa walipo chemka baada ya watu kuandika sana wakahamisha kale kamstari wakakipeleka kwa wizzy kile kimstari kilivyotolewa kikaondoka na kura za kiba baadae wakakirudisha kwa kiba mwisho wakatoa kabisa!! Tatizo nini??
Kiba tuzo za kimataifa ataendelea kuziskia kwny taarifa ya hbr,
Hv kwa uwezo gan alio nao kiba mpaka ambwage wizkid
Licha ya kura kutumika ila pia wanaangalia uhalisia, kiba hata ck moja hawezi kumbwaga star mkubwa wa Africa labda ck wizkid, diamond, davido, patoranking yan mastar wote wafeeeee......