Alikiba: Tunafuatilia kujua vigezo gani vilitumika kupata mshindi wa Mtv EMA


Kiba tuzo za kimataifa ataendelea kuziskia kwny taarifa ya hbr,

Hv kwa uwezo gan alio nao kiba mpaka ambwage wizkid

Licha ya kura kutumika ila pia wanaangalia uhalisia, kiba hata ck moja hawezi kumbwaga star mkubwa wa Africa labda ck wizkid, diamond, davido, patoranking yan mastar wote wafeeeee......
 
Tuzo tu mnaminyana wenzenu hawana hata habari wanapiga michongo na kazi za maana, then wanashinda bila kuomba kura maana kwa kazi wanazofanya zinawapa confidence ya hatari, Wasanii wabongo washukuru hata kwa hizo nomination maana ukilinganisha na wasanii wenzao wa south africa na Nigeria kuna safari ndefu, MTV ni taasisi kubwa wanautaratibu wao sio mnang'ang'ania tu kumbuka kuna kushinda na kushindwa, eboooo
 
Kwahiyo walimueka ili iweje kaka kama unavyosema hana hadhi kwann wasingewaweka hao uliowataja
 
Kwahiyo walimueka ili iweje kaka kama unavyosema hana hadhi kwann wasingewaweka hao uliowataja

Walimuweka ili ionekane kuna competition, unajua hata kwa diamond tuzo za MTV pale hata iwe vp hasingechukua maan hata angepigiwa kura nyingi ila wanaangalia pia msanii alichokifanya kwa huo mwaka licha ya kuwa hajapata kura

Mkuu ikumbukwe kuwa nigeria ni nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika lakina likija suala la kuvote huwezi kujua labda wanigeria huwa wanapata kura nyingi kutokana na population yao lakini kiuhalisia kazi ya ikiwa nzuri kigezo cha kura huwa kinawekwa kando
 
Kiukweli huwa siwapendi kabisa wasanii wengi wa Bongo hususani Ali Kiba, lakini katika hili nitamtetea kabisa, Kiukweli Ali Kiba ameonewa. Sioni mantiki kwanini ashindane vizuri na watu wampigie kura kwa wingi kuliko wengine wote halafu mwisho wa siku mshindi awe mwingine.

Sijaona tofauti kati ya MTV na Jecha wa Zanzibar.
 
Team mondi mnapenda kupindisha maneno, yeye kaulizwa washabiki wasemavyo. Kiba yupo sahihi lazima afuatilie kwa nini alishindwa ili kama kuna mapungufu ayafanyie kazi. Bila kumnanga kiba humu siku yenu inakuwa haijakaa vyema.
huwa nnaudhika Sana na wanavyomfanyia alikiba! Wanamnanga kupita Maelezo, Kwan yeye kusema anafuatilia imekuwa shida??? Mbona utata uliopo kwenye hizi tuzo hamuuzungumzii??? Kwanini??anyway, nilisema kuna watu ni mahater hata alikiba afanye nini mtamuona hafai,, mbona Kama kujirekebisha amejitahidi Sana???? Tena Sana,
Lakini bado kuna watu wanamchukia huyu kaka pasi kifani!!!
 
jamani,mimi ni Mara nyingi huwa napenda kumshauri alikiba huku, huwa nnamkosoa Sana,, cjui media za bongo wamemezeshwa nini,, wanamsakama huyu kaka hadi basi,, hizi tuzo zina utata tena Sana, lakini watu wamekazana kusema 'ooh Ali anapenda kulalamika 'this Is not fair,, kuna fans ambao wanamtakia alikiba mema na kumkosoa ili asiharibu, mfano wake ni mimi,, kwa hili hajakosea!! Just imagine huko instagram almost page zote kubwa zinamrushia alikiba lawama bila kujali utata ulio kwenye hizi tuzo!!, siyo haki,, napinga hili swala sana! Basi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…