Hiyo ni tafsiri yako wala neno Kafiri halimaanishi kama ulivyotafsiri wewe,
Kila kiumbe kina haki yake na riziki yake ndio maana Mungu huwapa riziki hata wale wasiomtii,
Nilijua tu usingeweka hapa bandiko nililokuambia coz hilo bandiko halipo.
Maandiko hayo kama kweli yapo yaweke hapa kwa faida ya woteMzee maandiko yapo mengi, sijaamua kuyaweka ilinkuepusha mada nyingine ndani ya mada nyingine...Wakristo wanaosoma Biblia wanajua
Hakuna haja ya kuendelea kuandika zaidi, tuishie hapa...
Maandiko hayo kama kweli yapo yaweke hapa kwa faida ya wote
Yanayoonesha "wenye haki" na "wasio wasio haki" kutoka kwenye vitabu
Kama hutaweka hapa basi hii nayo mi porojo kama porojo zingine umejitungia tu.....
Akinitaka na mtag mangi kimambi nani amtake yuleAcha Majungu, Aliwah kukukataa nini? Mnapenda wanaume mikia ya Mbwa ndo mjione wa thamani.
Vizuri nyie ni chawa wa kikiba cha darUmeandika kama mtu aliyepeleka akili zake likizo na kutembea na kiwiliwili tu.
Na wewe ni hater wa King Kiba.Vizuri nyie ni chawa wa kikiba cha dar
Hater ndio sana tu simpendi mtu ambaye anajionaNa wewe ni hater wa King Kiba.
Una hasara kubwa sana kwako na kwa waliokuzaa.Hater ndio sana tu simpendi mtu ambaye anajiona
Hata wewe kuwa chawa wa mwwnaume mwenzio 🤢🤢🤮🤮😩 aibu zako sanaUna hasara kubwa sana kwako na kwa waliokuzaa.
Ni ulimi kuharakia Ukristo tu. Tusilazimishe sana mzozo wa udiniUnamaanisha anawashangaa watu wa Dini yake kwa kutolea mfano wakristo kuwa ndio watenda maovu wa misibani?
Kwahiyo picha na video za kuzika za Waislamu zilizopo mitandaoni zimepigwa au rekodi na Wakristo? Wewe na alikubali wote ni wapumbavu. Hakuna sehemu wakristo wameambiwa au kumeandikwa kurekodi kama utaratibu rasmi wa Kanisa na hilo jambo sio utaratibu wa kanisa huo ila ni watu binafsi na utandawazi na hilo hufanywa na kila mtu regardless na dini. Maamuma mkubwa wewe.Kila dini ina taratibu zake ,Ali Kiba yupo sahihi kuuliza....Misiba ya kiislam hauwezi kukuta wanaaga au wanarecord mashooting sasa ndicho kilichomshangza mpaka kuuliza hilo swali.
Kwahiyo picha na video za kuzika za Waislamu zilizopo mitandaoni zimepigwa au rekodi na Wakristo? Wewe na alikubali wote ni wapumbavu. Hakuna sehemu wakristo wameambiwa au kumeandikwa kurekodi kama utaratibu rasmi wa Kanisa na hilo jambo sio utaratibu wa kanisa huo ila ni watu binafsi na utandawazi na hilo hufanywa na kila mtu regardless na dini. Maamuma mkubwa wewe.
HII AWAMU YA SITA WAKRISTO MNALALAMIKA SANA
Faiza akikomenti MNALALAMIKA
Mohamed said akileta Uzi MNALALAMIKA
Alikiba akisema tu MNALALAMIKA
Salim Kikeke kafuga ndevu MNALALAMIKA
Mama ameteua mawaziri juzi WAKRISTO wapo wengi MNALALAMIKA
Bandari apewe muwekezaji MNALALAMIKA..
Nyie hamna subira na uvumilivu ...
Binafsi nimeoa muislam na Dada yangu ameolewa na muislam ila toka suala la Dp world lianze na namna mnavyolazimisha kila baya liwe la Ukristo nimetoka kuwadharau sana. Nimekulia Moro na Tanga kwenye waislam wengi na nilikuwa nawaheshimu sana ila sasa, Dah nawaona vilaza. Sababu reasoning capacity yenu ni ndogo sana. Mfano kwenye hili jambo la kusema Wakristo ndio huwa wanarecord misibani na ndio utaratibu wa dini yao. Nimekuuliza wapi utaratibu huo umewekwa rasmi kwa wakristo?Je picha nikakutolea na mfano hizo hapo juu zimerekodiwa na nani kwenye mazishi ya muislam? Unaweza sema kuna mkristo akaenda simama mbele ya mashehe hao na kurekodi picha na video?very loweka and Pathetic. Byeeeee.Weka ushahidi kwamba aliyerekodi ni Muislam hapo? Kweli wewe ni empty head unaendeshwa na mizuka bila kufikiri,ujinga tu umekujaa mwingi ,sasa ali kiba akiuliza unapiga picha wewe mkristo ndiyo kuna tatizo? Kuna mambo mengi ya kujadili na si huu upuuzi kisa tu "USHABIKI MAANDAZI".
Binafsi nimeoa muislam na Dada yangu ameolewa na muislam ila toka suala la Dp world lianze na namna mnavyolazimisha kila baya liwe la Ukristo nimetoka kuwadharau sana. Nimekulia Moro na Tanga kwenye waislam wengi na nilikuwa nawaheshimu sana ila sasa, Dah nawaona vilaza. Sababu reasoning capacity yenu ni ndogo sana. Mfano kwenye hili jambo la kusema Wakristo ndio huwa wanarecord misibani na ndio utaratibu wa dini yao. Nimekuuliza wapi utaratibu huo umewekwa rasmi kwa wakristo?Je picha nikakutolea na mfano hizo hapo juu zimerekodiwa na nani kwenye mazishi ya muislam? Unaweza sema kuna mkristo akaenda simama mbele ya mashehe hao na kurekodi picha na video?very loweka and Pathetic. Byeeeee.
Majungu ni Msalaba naona Unateseka sana😅💔, Pole.Akinitaka na mtag mangi kimambi nani amtake yule
Unanipotezea muda mkuu, byeeeee umeshinda basi jaribu kuficha uchi wa akili yako. Hivi kuna mkristo aliyeemda kuzika muislam akaenda kupiga picha ya namna hiyo mbele ya mashehe kweli. Bro usitumie makalio kufikiria kwa sababu ya udini. Sijui kwanini kila jambo baya mnausingizia Ukristo? Jamaa mmoja mpagani kule Sweden kuchoma quran lawama inapelekea kwa Ukristo. Jamaa zikioana dume kwa dume, ushoga unalaumiwa na kuhuzunishwa na Ukristo. Juzi TEC wameandika waraka wao na hawajataja dini wala kumtaka mtu, unahusishwa na Ukristo. Sijui kwanini mnalazimisha uadui kwa imani isiyojuhusisha nanyi? Nikisimama barabarani na kuhubiri kuwa Yesu ni Mungu, nitatukanwa na kugombea bila kosa. Leo mwamposa anafanya huduma yake ila kila siku mashehe kumuita Nabii wa uongo. Mungu awasaidie kwa kweli.Wanaoenda kuzika kwenye misiba ya kiislam wote ni waislam? Na wanaoenda kuzika misiba ya kikristo wote ni wakristo? Kama kuna mchanganyiko kitu gani kilichothibitisha kwenye hiyo picha uliyotuma kama aliyepiga ni mkristo au ni muislam?