AlikibaVEVO vs Diamond YouTube

Huna majibu na conclusion ni kwamba nabishana na mtu asiye na uelewa wowote!!! It's like kubishana masuala ya Fluid Mechanics na mtoto wa Darasa la Sita kutoka Azimio Primary school!!!
Huna hoja wewe. Unakimbilia kuwatukana nduguzo waliosoma Azimio na ka elimu kako ka informatics theories. Ukitaka nikuajiri ni pm tafadhari.
 
Huna hoja wewe. Unakimbilia kuwatukana nduguzo waliosoma Azimio na ka elimu kako ka informatics theories. Ukitaka nikuajiri ni pm tafadhari.
We ni msukule wa Mange tu ndo maana umelishwa sumu ambazo unashindwa hata kuzitetea! Narudia, jibu kwanza hili swali ili nifahamu nabishana na mtu wa aina gani!!! Hakuna daktari mwenye akili timamu anayeweza kubishana na Engineer kuhusu masuala ya human anatomy! So, jibu kwanza hili swali:
Hebu niambie ubora uliopo kwenye Vevo Youtube channel account compared to pure Youtube channel account huku msisitizo ukizingatia mada ya hapa!!
 
On Breaking The 24 Hour Views Record…
The 24 hour Vevo views record has become a pretty big deal these days and we couldn’t be more proud, but there seems to be a bit of confusion about how it all works. Because of this, we felt it was important to clear up some details about how the record is determined.


  1. We calculate the total views over a 24 hour period from across our entire platform including our syndication partners. This includes all Vevo apps plus syndication channels, Yahoo!, YouTube and many more. These reports usually come in over the course of a 2 day period.
  2. Once all the reports are in, we take the total view count from the exact time the video premieres to exactly 24 hours later. That is the 24 hour number.
Some frequently asked questions:

  • Q: The numbers on YouTube and Vevo added up to much more than what you guys are reporting. What gives?
  • A: The view counts you see on Vevo.com and the Vevo apps are inclusive of YouTube view counts. They are not separate numbers, but because we have to pull counts from so many different sources, the views on Vevo.com and YouTube aren’t always in sync.
  • Q: The views aren’t being counted on YouTube! Can you fix it?
  • A: If you see the views stuck at 301+ or something similar on YouTube, it’s because there are A LOT of people watching the video. WATCH THIS: http://goo.gl/mkX7uz (No, seriously. Watch it.)
  • Q: Why are some videos declared record breakers before 24 hours are up and others take 2 days?
  • A: The reports from our various partners come in over the course of a 2 day period. YouTube always makes sure views from robots, spiders and other automated view count gaming tools are removed from their final counts. Only views from human beings are counted. YouTube can analyze views that come from humans much quicker than it can from tools designed to trick their player. In the case of huge videos that get viewed worldwide, like “Wrecking Ball,” virality comes into play. From the amount of press and social shares alone, it was clear that everyone and their mother was watching that video. Literally. The number of views had far exceeded the standing record before day’s end, so we were able to verify the count.
  • Q: Does it count as a view if I hit replay, or do I have to refresh the page?
  • A: Either works, just don’t use automated tools or open the video in 50 different browser tabs. YouTube is pretty good at detecting when someone isn’t actually watching the video. Our best advice is to share, share, share and think outside your fan base. The videos that really rack up views are the ones that span fan bases.
  • Q: Why do you take away views?
  • A: We don’t take away views. YouTube will verify that views are not coming from robots, spiders and other automated tools. That’s why sometimes you see a view count fluctuate a bit.

 
Ina maana wewe una akili sana zaidi ya Sony Music Entertainment na Rockstar waliompa endorsement Alikiba?

Au wewe ni una weledi zaidi ya waandaaji wa Music wanaompeleka Alikiba America na Ulaya kwenye Shows?
Acha ubazazi.
Shows gani?? Hizihizi za kipaimara na birthday??
 
Ongea na mods kabisa kuhusu ban. Vipi huwa unasoma post za Mange instagram?
 
Au wewe unamaanisha lile banda la popo Madale, watu na nyumba zao hawachongi
Wacha ushamba kiba anamaisha ya kawaida tu..Mondi ndio msanii wa kwanza anaewalipa Mameneja na kuwalipa watendaji wake wengine wote pamoja na artist wa label yake,dancers etc.
Nani mwingine anafanya haya??? Kiba mpaka asubiri pesa za vevo(monthly payments), au mpaka alielie kwa sponsor...
 
cocochanel,

Thank you for above stuff!! Na ndio maana nilikuwa nawaambia hawa wanaodhani kwamba Vevo ni very special kwamba, hizi akaunti za akina Kiba zipo Youtube Channel na Vevo account. Hizi views nyingi kwa watu kama akina Kiba zinatokea kwenye Youtube channel kwa sababu, nchi nyingi za Afrika including Tanzania hauwezi ku-access Vevo kwahiyo wana-access Vevo Youtube channel!!!

So, kipande chako cha taarifa kimetoa official answers kutoka kwa Vevo wenyewe!!!
 
Ndio maana nasema Alikiba hana mashabiki wa kweli,bali ana maadui wa Diamond wanaosubiri kuuona ufalme wa Diamond ukianguka!!

Diamond yuko mbali saaana,itachukua zaidi ya miaka 10 kwa Alikiba kumfikia Chibu,kumfikia na sio kumzidi!!dogo yuko mbali sana!!

Alikiba hata atumie shortcut vipi hawezi kumfikia Diamond,kuanzia kwenye umiliki wa Label,Alianza kusema karibuni atawatambulisha wasanii wa label yake mpya ya Kingmusic mpaka leo kimyaaa![emoji23]
Matokeo yake akakimbilia kununua hisa chache ndani ya Rockstar,Rockstar yenyewe imeshajifia maskini[emoji23][emoji23]

Diamond ni Evara wa muziki Africa
 
Namsubiri mdogo wangu anayesoma darasa la sita!! Utaanza kujadiliana nae yeye manake umesha-prove kwamba hauna uwezo wa kujibu hoja zangu!
Ninyi ni team Kiba au team Domo?
Vipi matibabu kule hospitali teule Dodoma mmeshatoka?
Offer yangu ya ajira bado ipo ni PM mkiwa tayari
Mkuu hapo ni hamna kitu....hakuwezi kwa Facts,hana anachokijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…