Ndio maana nasema Alikiba hana mashabiki wa kweli,bali ana maadui wa Diamond wanaosubiri kuuona ufalme wa Diamond ukianguka!!
Diamond yuko mbali saaana,itachukua zaidi ya miaka 10 kwa Alikiba kumfikia Chibu,kumfikia na sio kumzidi!!dogo yuko mbali sana!!
Alikiba hata atumie shortcut vipi hawezi kumfikia Diamond,kuanzia kwenye umiliki wa Label,Alianza kusema karibuni atawatambulisha wasanii wa label yake mpya ya Kingmusic mpaka leo kimyaaa![emoji23]
Matokeo yake akakimbilia kununua hisa chache ndani ya Rockstar,Rockstar yenyewe imeshajifia maskini[emoji23][emoji23]
Diamond ni Evara wa muziki Africa