Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

Kuna jambo ambalo hamtaki kuelewa. Samia hajawahi kuwa karibu na Mbowe hivyo alipowekwa ndani na serikali yake hakushangaa. Na haikuwa mara ya kwanza. Lissu alikuwa mtu wake wa karibu sana na walipitia mengi pamoja. Hakutegemea kuwa Lissu atamgeuka na kusema na/au kuruhusu watu wamchafue jinsi walivyomchafua. Ni lazima ilimuuma kuliko alivyowekwa ndani DPP.

Na mbaya zaidi bado Lissu na wapambe wanaendeleza uchafuzi ule. Kwenda kwake Ikulu baada ya kutoka gerezani kumegeuzwa kuwa ishara ya usaliti. Kama wanavyosema " from Ukonga to Ikulu". Nadhani wanaamini watam shame ili awaangukie.

Anachofanya Mbowe ni kuwaonyesha kuwa yeye ni mtu huru atafanya anachoona yeye sahihi. Sio kama wale ambao nao wameanza kuweka rasta kwa sababu kiongozi wao ameweka rasta.

Mnajipotezea muda kumuandama Mbowe. Ameisha move on. Kama kweli mnaamini amewasaliti kwa muda mrefu, dawa ni kumfukuza kwenye chama. Kama ambavyo CCM walivyomfukuza msaliti wao.

Amandla...
Ndugu ,you have nailed it... Mbowe ni mwanasiasa halisi sio mwanaharakati kwa aslimia ata 20% .Waliochukua chama kwasasa wao ni harakati,payuka,tukana,beza nk.. CHADEMA kwasasa aiwezi kufanya operation yenye maana kama enzi za Mbowe-OPERATION SANGARA
 
"From Ukonga to ikulu"

Hiyo kauli kwa namna moja inaweza kuonekana kama kashfa, lakini pia kwa namna nyingine ni reality.

So, sishangai kama wewe umeamua kuichukulia kwa upande wa kashfa, na maneno mengine uliyoongezea.

Lakini naamini pia hutamshangaa yule atakayeichukulia hiyo kauli pale juu kama reality, kwasababu ule ndio ukweli uliojitokeza baada ya Mbowe kuachiwa toka gerezani.

Hebu sasa wote tutoke nje ya box tujiulize swali, je; Mbowe baada ya kutoka ikulu, aliendelea kuwa Mbowe yule kamanda mwenye misimamo au alikuja kupoa?

Kwa upande wangu Mbowe alikuja kupoa sana, akawa wa baridi, mtu asiyeeleweka misimamo yake, na ndicho kitu kilichopelekea akapoteza ushawishi wake aliokuwa nao kwa wengi kwa muda mrefu.
 
Una uhakika alikua kweli analala sero ama ilikua kiini macho
Mbowe alikuwa ni mpinzani wa kweli enzi hizo... Au sahihi niseme alikuwa hajapata mtu amefika bei. Marais waliotangulia wote hawakuhangaika naye sana ila Samia alifika bei na akamwahidi cheo. Katika siku ambazo nchi yetu itatakiwa kuadhimisha ni siku ambayo Mbowe aliyoshindwa uenyekiti. Tanzania ilizaliwa upya!
 
Ndugu ,you have nailed it... Mbowe ni mwanasiasa halisi sio mwanaharakati kwa aslimia ata 20% .Waliochukua chama kwasasa wao ni harakati,payuka,tukana,beza nk.. CHADEMA kwasasa aiwezi kufanya operation yenye maana kama enzi za Mbowe-OPERATION SANGARA
Nchi ilipofikia hatuhitaji wana siasa aka wachumia tumbo hasa hapa Tanzania nchi iliyooza na kunuka dhulma na uovu , tunahitaji wanaharakati il I iufajya mageuzi ya kweli na kukomboa ili kuleta mustakabari bora wa hii nchi , Mbowe ni political prostitute kama walivyowachumia tumbo (political prostitutes) ndani ya ccm leo na vibaraka wao hao chauma na ACT , ni mpumbavu pekeee ndio ataona mwanaharakati Kama jina baya ,Nelson Mandela pia alikuwa gaidi ,muasi na mwanaharakati ,Malkom X ,Martin Luther , Chegua varra ,Gandhi nk hao heroes wote walikuwa wanaharakati na waasi dhidi ya mifumo na tawala dhalimu za kishenzi na uovu + dhulma .
Hiki ndio Tanzania inahitaji , hatutaki politicians aka prostitutes wasio na misimamo thabiti ya itikadi na falsafa ya haki na uongozi bora
 
Ndugu ,you have nailed it... Mbowe ni mwanasiasa halisi sio mwanaharakati kwa aslimia ata 20% .Waliochukua chama kwasasa wao ni harakati,payuka,tukana,beza nk.. CHADEMA kwasasa aiwezi kufanya operation yenye maana kama enzi za Mbowe-OPERATION SANGARA
Nchi ilipofikia hatuhitaji wana siasa aka wachumia tumbo hasa hapa Tanzania , tunahitaji wanaharakati ili kufanya mageuzi ya kweli na kukomboa ili kuleta mustakabari bora wa hii nchi , Mbowe ni political prostitute kama walivyowachumia tumbo (political prostitutes) ndani ya ccm leo na vibaraka wao hao chauma na ACT , ni mpumbavu pekeee kama wewe na wajinga wenzako ndio ataona mwanaharakati Kama jina baya ,Nelson Mandela pia alikuwa gaidi ,muasi na mwanaharakati ,Malkom X ,Martin Luther , Chegua varra ,Gandhi nk hao heroes wote walikuwa wanaharakati na waasi dhidi ya mifumo na tawala dhalimu za kishenzi na uovu + dhulma .
Hiki ndio Tanzania inahitaji , hatutaki politicians aka prostitutes wasio na misimamo thabiti ya itikadi na falsafa ya haki na uongozi
 
UNAFIKIRI KUMVUA UANACHAMA MH.MBOWE ITAMCOST KWELI?
We ni mpumbavu Sana , yaani kama unalinganisha integrity na political profile ya Lisu na Mbowe ,kweli kinyesi cha nguruwe ndio kimejaa kwenye fuvu hilo.
Unajua historia ya Lisu kwenye kupigania haki za RAIA wa kawaida nchi hii we kenge ? Tangia sakata LA migodi ya nyamongo ,GGM ,Bulyanhulu , nk ?
 
Back
Top Bottom