Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

Mbowe alikuwa ni mpinzani wa kweli enzi hizo... Au sahihi niseme alikuwa hajapata mtu amefika bei. Marais waliotangulia wote hawakuhangaika naye sana ila Samia alifika bei na akamwahidi cheo. Katika siku ambazo nchi yetu itatakiwa kuadhimisha ni siku ambayo Mbowe aliyoshindwa uenyekiti. Tanzania ilizaliwa upya!
Kwamba mbowe kaanza kutumika na rais wa sasa?
Mbowe ni msaigon kama alivo Kikwete msaigon..na ni marafiki sana hawa wawili.

Naishia hapa.
 
Ukweli ulio bayana ni kuwa Mbowe anawaonesha kwa vitendo chadema kuwa yeye ame move on, chadema mnaelewa hili labda wasiwasi wenu tu mnaanzaje kumchekecha, mkijua fika bado ana mizizi yake ktk chama ana watu wake wengi tu mpaka katika kamati tendaji yenu hao watu bado ni watiifu sana kwa mbowe licha ya kuwa huku nje wana hadaa watu kuwa wao wako na chama na uongozi wa sasa sio Freema . huo uoga dhidi ya Mbowe ata yeye nae anaujua na ndio anaoutumia kuwaoneshea jeuri na kibri chote ie kuhusika ktk shughuli mbalimbali za serikali, kukutana na watesi wa mwenyekiti wake wa chama nk
Ccm waliwahi kupita na Membe, juzi hapa wamepita na aliekua namba 2 wa nchi. KAZI KWENU CHADEMA.
 
Kuna jambo ambalo hamtaki kuelewa. Samia hajawahi kuwa karibu na Mbowe hivyo alipowekwa ndani na serikali yake hakushangaa. Na haikuwa mara ya kwanza. Lissu alikuwa mtu wake wa karibu sana na walipitia mengi pamoja. Hakutegemea kuwa Lissu atamgeuka na kusema na/au kuruhusu watu wamchafue jinsi walivyomchafua. Ni lazima ilimuuma kuliko alivyowekwa ndani DPP.

Na mbaya zaidi bado Lissu na wapambe wanaendeleza uchafuzi ule. Kwenda kwake Ikulu baada ya kutoka gerezani kumegeuzwa kuwa ishara ya usaliti. Kama wanavyosema " from Ukonga to Ikulu". Nadhani wanaamini watam shame ili awaangukie.

Anachofanya Mbowe ni kuwaonyesha kuwa yeye ni mtu huru atafanya anachoona yeye sahihi. Sio kama wale ambao nao wameanza kuweka rasta kwa sababu kiongozi wao ameweka rasta.

Mnajipotezea muda kumuandama Mbowe. Ameisha move on. Kama kweli mnaamini amewasaliti kwa muda mrefu, dawa ni kumfukuza kwenye chama. Kama ambavyo CCM walivyomfukuza msaliti wao.

Amandla...

..Ccm na Samia ndio wamemuangusha Mbowe kwasababu hawaku-deliver on the promises they made to him.

..walimlaghai Mbowe alegeze msimamo kwa ahadi ya kuleta mabadiliko chanya ktk demokrasia.

..Mbowe alitimiza upande wake wa makubaliano, lakini Ccm na Samia hawakutimiza.

..Na sio Mbowe pekee aliyetapeliwa. Hata ACT na wenzao waliokuwa kwenye kikosi kazi nao wametapeliwa.

..Mapendekezo ya ACT na Kikosi kazi yametupwa pembeni hakuna hata moja lililotekelezwa.

..Kwa maoni yangu, tunakosea kumlaumu Mbowe wakati maamuzi aliyoyafanya yalikuwa na nia njema kwa nchi.

..Tunapaswa kuwalaumu Ccm. Ndio waliosababisha matatizo karibu yote ktk mifumo yetu ya demokrasia.
 
Sawa Joyce Mukya lazima umtetee sponsor wako
 
Nimemaliza.

Lisu hujawahi kwenda kumuona. Au??? mara moja!

View attachment 3667914
We kenge mbona huulizi kwanini mke wa Lissu hakuwahi kumtembelea mume wake gerezani wala kuhudhuria kesi mahakamani. Mbowe hawezi kwenda kumtembelea mshamba km Lissu, alimhangaikia kuokoa maisha yake badala yale Lissu anakuja kumtukana mtu km Mbowe? Lissu ni punda asiye na fadhili, Mbowe alikosea sana kumwachia chama, hata hivyo atakichukua chama chake
 
..mke wa Lissu hukumuona bunge la ulaya akimpambania mume wake?

..mbowe anatakiwa ampiganie lissu kama ambavyo mwenzake alimpigania wakati aliposingiziwa ugaidi na samia.
 
Jipige pige kifuani mara tatu alafu jiambie Mimi ni lijinga la TAIFA!

UKIMALIZA nambie nikwambie kwa nini nimekupa hadhi ya lijinga la TAIFA kwa nini?! MALYAFYALE MKUBWA.
 
..mke wa Lissu hukumuona bunge la ulaya akimpambania mume wake?

..mbowe anatakiwa ampiganie lissu kama ambavyo mwenzake alimpigania wakati aliposingiziwa ugaidi na samia.
Lissu yupo gerezani ukonga zaidi ya mwaka hajamwona mkewe Wala watoto wake hatupigi kelele
 
Hawezi kuisaliti familia. Babake ndiye aliyemsponsor Nyerer kwenda UN na UK enzi za kudai uhuru na kumbuka Nyerere ndiye babake wa kiroho au ubatizo! Anaanzaje kwa mfano kuwa mpinzani badala ya dalali?
Na hapo anamwelekeza bi mkubwa aagize Lissu ahukumiwe kunyongwa ili yeye arudi kwa mlango wa nyuma.
Kwa CCM hii ya Sasa, Nyerere angelikuwa hai unadhani bado angelikuwa Mwanachama mule?
 
Lissu yupo gerezani ukonga zaidi ya mwaka hajamwona mkewe Wala watoto wake hatupigi kelele

..mkewe na wanae wanampigania huko nje waliko.

..mke wa lissu alionekana akimsemea mumewe ktk bunge la ulaya.

..wanae walikuwa ktk ujumbe uliokwenda kuonana na maseneta wa marekani kuhusu suala la baba yao, na ukandamizaji unaoendelea nchini.

..wanaopaswa kulaumiwa ni wale wanaomtesa Lissu kwa kumfungulia mashtaka ya uongo.
 
Mashtaka ya uongo kivip Babu wamemkuta ana kesi ya kujibu, ameanza kujitetea na mashahidi wanaendelea kumtetea na mbaya zaidi mahakama imewaita Wana usalama, kesi inasikilizwa open Kila mtu anaona kimasiala wanaweza kumnyoa mwenyekiti
 
Mnaopenda gutter politics lazma mtaumiza mioyo yenu tu bure. Mh.Mbowe anajua maana halisi ya uongozi,upinzani na siasa kuliko wengi asa upande wa upinzani. Kinacho kosekana kwa sasa ndani ya CHADEMA hamna mtu mwenye hulka ya hivyo. Pamoja na yote Mh.Mbowe akuwai kuwataka wananchi na wafuasi wa CHADEMA waichome nchi...UKWELI NI KUA LISSU atoshi kwenye siasa zenye ustaarabu na utaifa..Kinachowagharim ndiyo hicho
Umeongea utumbo tu unaweza kuwa rafiki na adui yako..! Shubamit
 
Mnaopenda gutter politics lazma mtaumiza mioyo yenu tu bure. Mh.Mbowe anajua maana halisi ya uongozi,upinzani na siasa kuliko wengi asa upande wa upinzani. Kinacho kosekana kwa sasa ndani ya CHADEMA hamna mtu mwenye hulka ya hivyo. Pamoja na yote Mh.Mbowe akuwai kuwataka wananchi na wafuasi wa CHADEMA waichome nchi...UKWELI NI KUA LISSU atoshi kwenye siasa zenye ustaarabu na utaifa..Kinachowagharim ndiyo hicho
Huenda ushabiki ama ujinga umekutawala, Mbowe alipewa kesi ya ugaidi na shutuma zake ilikuwa ni kulipua vituo vya mafuta na kufanya uasi mwingi. Huenda wakati wa kesi ile ulikuwa hujajiunga na hizi siasa za majitaka. Mmekuwa mkishabikia siasa za hila kiasi kwamba mkifanya utetezi mnajikuta mnaji Contradict tu.
 
Fundi Mchundo

To be fair, nimesoma comment yako hiyo ndefu, unataka na sisi tuamini hivyo?
Hapana. Ni uamuzi wenu kuamini au kutoamini.
Wewe ni loyalist wa Mbowe well and good, Wanaompigia mbowe kelele kwa sasa ni wana CDM/ waTz mmoja mmoja sio msimamo wa Chama, ingekuwa ni msimamo wa chama , chama kingetoa tamko, mjibu mleta mada usijifanye kama unaijibu CDM, leave CDM out of this drama.
Sio kweli. Usingekuwa msimamo wa CDM wangeunip in the bud mapema sana. Ni tactic ambayo uongozi wa CDM wa sasa wamekuwa wanautumia toka kabla ya uchaguzi. Wanatumia surrogates wao. Lakini nao wanajisahau kama walivyojisahau kwenye hili la " from Ukonga to Ikulu". Ni dog whistle if anything.
However, mwambieni Mbowe, kisirani chake kwa Lissu sio issue kubwa, issue kubwa ni yeye kuungana na CCM ambayo miaka na miaka imewatesa wapinzani (ambao yeye alikuwa anawaongoza ) Vijana wengi wamepoteza maisha katika mikono yake, he should have been ashamed of what he’s doing now.
Wanaoifanya issue ni CDM, sio Mbowe. Mbowe hajajiunga na CCM. Amehudhuria dhifa ya taifa ( sio ya CCM). Ameenda kumpa pole mfiwa sio Mwenyekiti wa CCM. Nionyeshe wapi amewahi kutoa tamko dhidi ya Chadema? Ni wapi ameunga mkono tamko au sera ya CCM? Hii ni tofauti kabisa na watu kama Dr. Slaa ( aliye andika kitabu kuisema vibaya CDM) na Msigwa ( aliyesimama jukwaani kufanya kampeni dhidi ya CDM). Wote hawa mmewapokea CDM.
Unaposema kuna watu wamepoteza maisha katika mikono yake una maanisha kuwa amehusika katika vifo vyao? Hauoni aibu! Mnatoa allegations ovu kama hizo na bado mnamlaumu Mbowe kwa kukaa mbali nanyi.
Kuhusu uchaguzi wa Ndani ya Chama kulikuwa na team mbili, Timu TAL na timu Mbowe, kama ni kampeni na siasa kila timu ilifanya, acha kuplay victim card kuwa timu Lissu ilimchafua Mbowe, let me tell you, timu zote zilimenyana, tofauti ni kwamba huwa hakuna scandal kubwa (notable) ya kumchafua Lissu ila kuna scandal kibao za kumchafua Mbowe, hii ni fact ichukue kama ilivyo. Mkitaka kumchafua Lissu huwa hamna kingine zaidi ya kusema mropokaji, mjuaji, hafai kuwa kiongozi (hafai kuwa dalali )
Spoken like a true believer. So called scandals dhidi ya Mbowe zilikuwa insinuations bila ushahidi. Uongo wa kampeni ya Lissu uko wazi lakini mmeweka pamba masikioni. Mbowe aliwahi kuwakanya hadharani wakina Yericko kuhusu kumchafua Lissu. Lissu amemkanya nani? Na mpaka leo, nani katika uongozi wa CDM amewahi kumtetea Mbowe? Waliomshukuru hadharani ( ukimuondoa Mnyika) walishughulikiwa vizuri tu. Mna tofauti gani na CCM?
Unasema Lissu alimsaliti Mbowe how?
Kwa kukaa kimya wakati mambo aliyojua dhahiri kuwa ni uongo. McCain hakukaa kimya shabiki aliposema Obama ni muislamu na hana mapenzi na USA. Lissu amemuita Mbowe hadharani na amesema kuwa biashara zake hazieleweki. Alitaka ashughulikiwe kama wakina Rugemalira? Yote hayo hamuoni.
Alamsiki.
Ninachosema mimi ni kuwa muacheni Mbowe aendelee na maisha yake. Mpeni tu heshima yake anayo stahili.

Mimi sitashangaa kama CDM ikikaa kimya kama mtu atajitokeza na kusema kuwa Mbowe ndie aliyekuwa Master Mind wa jaribio la kumuua Lissu ndio maana hakufanya lolote baada ya tukio lile. Watu wabaya sana.

Amandla...
 
Mashtaka ya uongo kivip Babu wamemkuta ana kesi ya kujibu, ameanza kujitetea na mashahidi wanaendelea kumtetea na mbaya zaidi mahakama imewaita Wana usalama, kesi inasikilizwa open Kila mtu anaona kimasiala wanaweza kumnyoa mwenyekiti
Kwa mahakama za maagizo ulitegemea wasimkute na kesi ya kujibu? Ukitaka kujua ni mahakama ya maagizo, wanaanza kukwepesha mashahidi muhimu.
 
..Ccm na Samia ndio wamemuangusha Mbowe kwasababu hawaku-deliver on the promises they made to him.

..walimlaghai Mbowe alegeze msimamo kwa ahadi ya kuleta mabadiliko chanya ktk demokrasia.

..Mbowe alitimiza upande wake wa makubaliano, lakini Ccm na Samia hawakutimiza.

..Na sio Mbowe pekee aliyetapeliwa. Hata ACT na wenzao waliokuwa kwenye kikosi kazi nao wametapeliwa.

..Mapendekezo ya ACT na Kikosi kazi yametupwa pembeni hakuna hata moja lililotekelezwa.

..Kwa maoni yangu, tunakosea kumlaumu Mbowe wakati maamuzi aliyoyafanya yalikuwa na nia njema kwa nchi.

..Tunapaswa kuwalaumu Ccm. Ndio waliosababisha matatizo karibu yote ktk mifumo yetu ya demokrasia.
Umeongea vizuri. Nashangaa wale wanaomfanya Mbowe adui kuliko CCM.

Amandla...
 
Back
Top Bottom