Alikubamiza miezi nane gerezani, leo mmekuwa marafiki wa kufa na kuzikana

We utakuwa ni yeriko, mbeba koti la dalali mbowe!.
 
Katika masuala ya usuluhishi kila pande huwa inakuja na majina ya wasuluhishi ambao ina imani nao. Majina yanajadiliwa mpaka anapopatikana msuluhishi wanaemtaka. Badala ya kusema msuluhishi lazima atoke nje wangesema tu anaweza kutoka ndani na nje ya nchi ili mradi wawe na imani nae.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…