Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Sidhani kama kuna maana yoyote maana tarehe na majina ya siku na miezi zilipangwa na mwanadamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu habari zenu,
Kuna swala limenishangaza kidogo! Kuna mdogo wangu amefariki juzi Ijumaa ya tar 24/7/2015 kwa ugonjwa wa kansa ya utumbo mpana. Siku mbili nyuma kabla hajafa alikuwa anaongea vitu vya ajabu ajabu na akili inakuwa sawa, ila siku ile ambayo alikuwa anakata roho alikuwa anaongea kiarabu si kiarabu yaani alikuwa anaongea lugha isiyoeleweka na kabla ya kukata roho aliniambia nipige magoti na akanishika kichwani huku akitaja jina langu. Na pia alifanya hivyo kwa watu wote tuliokuwa tunamuhudumia kwa ukaribu sana.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha kufa tarehe aliyozaliwa na zote zikiwa ni siku ya ijumaa! Alizaliwa 24/7/92 na amekufa 24/7/2015 zote zikiwa ni ijumaa.
Swali langu ni kwamba hii inaweza kuwa na maana yoyote?
Wewe mwenyewe ni Tahira la Mirembe. Kwahiyo hata unachouliza ni Utahira tu.
Mleta post mwenyewe hajawahi kufa kwa hiyo binafsi kwanza nasema Inna lillahi wa inna ilayhi raaji'oon.Mbili sijaona kama hilo suala la kifo linapaswa kupostiwa kihivyo the way he did.We ni punda kabisa.... Kosa la mtoa mada ni nini??? Kama huelewi si unapita tu... Mseeengerema wewe nyumbani kwetu pazuri... Karibu Mkuu..
Mpumbavu mkubwa wewe
Mleta post mwenyewe hajawahi kufa kwa hiyo binafsi kwanza nasema Inna lillahi wa inna ilayhi raaji'oon.Mbili sijaona kama hilo suala la kifo linapaswa kupostiwa kihivyo the way he did.
No. hakuna maana yoyote mku
Sidhani kama kuna maana yoyote maana tarehe na majina ya siku na miezi zilipangwa na mwanadamu.
Kwani kuna ajabu gani? Mimi mwenyewe nilizaliwa siku ya Ijumaa na natamani nife siku ya Ijumaa. ...kwa waislam wanajua namaanisha nini.
Wewe mwenyewe ni Tahira la Mirembe. Kwahiyo hata unachouliza ni Utahira tu.
We ni punda kabisa.... Kosa la mtoa mada ni nini??? Kama huelewi si unapita tu... Mseeengerema wewe nyumbani kwetu pazuri... Karibu Mkuu..
Umekurupuka wewe. Haujajua unachoandika. Tahira la Mirembe ni jina lake wala mimi sijamtukana ila wewe ndo umenitukana. Labda niseme kuwa wewe ni FISI na Msengerema.
Mpumbavu mkubwa wewe
Wewe ni MATAKATAKA yaliyoshindikana na JIJI.
Hata mimi sioni ajabu. Lakini kutamani kufa ijumaa isije ikawa kama Mfalme JUHA.
Hivi kuzaliwa na kufa kipi kinatangulia?Unatangulia kufa ndio unazaliwa au unazaliwa ndio unakufa?
Maana sijamuelewa mtoa Masada kwenye heading alipoandika "Alikufa tar 24/7 na alizaliwa tar 24/7.
Nahisi mshangao zaidi wa mtoa maada upo kwenye "kufa na baadae kufufuka kwa marehemu"na sio tarehe.
Wewe mwenyewe ni Tahira la Mirembe. Kwahiyo hata unachouliza ni Utahira tu.
We ni punda kabisa.... Kosa la mtoa mada ni nini??? Kama huelewi si unapita tu... Mseeengerema wewe nyumbani kwetu pazuri... Karibu Mkuu..