taira la mirembe
Senior Member
- May 29, 2015
- 188
- 63
- Thread starter
- #61
Think BIG
Pa kuanzia sipaoni mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Think BIG
Si kweli kuna maana kubwa sana
Binafsi naweza kusoma koment yako na kukuelewa we ni mtu wa namnagani, kwanza kabisa ni mtu ambaye huna busara 2. Ni mtu unayependa kuongea kitu na kutaka kila mtu akusikilize 3. Ni mtu unayejikweza japokuwa huna kitu 4. Ni mtu unayependa mazozano na watu bila kujali ni wa rika gani(hii ndio mbaya sana) 5. Ni mtu mwny shida za kimaisha japo hupendi watu wajue uhalisia wako 6. Ni mtu ambaye hujifanya unajua kila kitu, ili hali unaujua ukweli wako ndani ya moyo wako.. USHAURI-- hali hiyo ndio uliyoumbwa nayo na hapa wewe pia huipendi muda mwingine maana imeshakufanya umegombana mpaka na watu wa karibu, nachoweza kukushauri ni ujaribu kuicontrol hali hiyo japo kiuhalisia ni ngumu.
Mm nadhan kuna uhusiano flan, mfano mm mwanangu alizaliwa march 21 tarehe aliyo zaliwa braza, ajabu yake mtoto wa braza akaja kuzaliwa tarehe niliyozaliwa mm. Ngoja. Waje wataalamu watuambie vzr
Kwani kuna ajabu gani? Mimi mwenyewe nilizaliwa siku ya Ijumaa na natamani nife siku ya Ijumaa. ...kwa waislam wanajua namaanisha nini.

Wakuu habari zenu,
Kuna swala limenishangaza kidogo! Kuna mdogo wangu amefariki juzi Ijumaa ya tar 24/7/2015 kwa ugonjwa wa kansa ya utumbo mpana. Siku mbili nyuma kabla hajafa alikuwa anaongea vitu vya ajabu ajabu na akili inakuwa sawa, ila siku ile ambayo alikuwa anakata roho alikuwa anaongea kiarabu si kiarabu yaani alikuwa anaongea lugha isiyoeleweka na kabla ya kukata roho aliniambia nipige magoti na akanishika kichwani huku akitaja jina langu. Na pia alifanya hivyo kwa watu wote tuliokuwa tunamuhudumia kwa ukaribu sana.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha kufa tarehe aliyozaliwa na zote zikiwa ni siku ya ijumaa! Alizaliwa 24/7/92 na amekufa 24/7/2015 zote zikiwa ni ijumaa.
Swali langu ni kwamba hii inaweza kuwa na maana yoyote?
Poleni Sana.
Umesahau kuwa alizaliwa Muhimbili Hospital na pia amefia Muhimbili
Mkuu naamini tutakuwa tunafahamiana, au ulikuwa unamfahamu marehemu? Embu nitajie jina lake moja tu maana ni kweli alizaliwa muhimbili na amefia muhimbili.

We taira la mirembe kweli!Wakuu habari zenu,
Kuna swala limenishangaza kidogo! Kuna mdogo wangu amefariki juzi Ijumaa ya tar 24/7/2015 kwa ugonjwa wa kansa ya utumbo mpana. Siku mbili nyuma kabla hajafa alikuwa anaongea vitu vya ajabu ajabu na akili inakuwa sawa, ila siku ile ambayo alikuwa anakata roho alikuwa anaongea kiarabu si kiarabu yaani alikuwa anaongea lugha isiyoeleweka na kabla ya kukata roho aliniambia nipige magoti na akanishika kichwani huku akitaja jina langu. Na pia alifanya hivyo kwa watu wote tuliokuwa tunamuhudumia kwa ukaribu sana.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kitendo cha kufa tarehe aliyozaliwa na zote zikiwa ni siku ya ijumaa! Alizaliwa 24/7/92 na amekufa 24/7/2015 zote zikiwa ni ijumaa.
Swali langu ni kwamba hii inaweza kuwa na maana yoyote?
Hivi kuzaliwa na kufa kipi kinatangulia?Unatangulia kufa ndio unazaliwa au unazaliwa ndio unakufa?
Maana sijamuelewa mtoa Masada kwenye heading alipoandika "Alikufa tar 24/7 na alizaliwa tar 24/7.
Nahisi mshangao zaidi wa mtoa maada upo kwenye "kufa na baadae kufufuka kwa marehemu"na sio tarehe.
Shetani amehusikaje hapo???.
We taira la mirembe kweli!
mie ndio niliesimamia kuanzia ujenzi mpaka ujengaji wa kaburi la John