nifah unachekesha sana 🙂 eti unatamani kufa ijumaa?Kwani kuna ajabu gani? Mimi mwenyewe nilizaliwa siku ya Ijumaa na natamani nife siku ya Ijumaa. ...kwa waislam wanajua namaanisha nini.
Wewe ni MATAKATAKA yaliyoshindikana na JIJI.
Hivi siku mkionana halafu mkajikuta mnafahamiana mtajisikiaje?
Yamewahi kuwakuta watu tena hapahapa JF tena mimi nikiwa shuhuda...mbaya zaidi kumbe walikuwa ndugu
nifah unachekesha sana 🙂 eti unatamani kufa ijumaa?
Kama ijumaa iliyopita ulijisahau andaa kitanzi unipe namba zako ili ijumaa ijayo nikushtue😀
Hapana mkuu, namaanisha endapo Mungu kama akipenda kunichukua basi na anichukue siku ya Ijumaa.
Kujinyonga siwezi, maisha matamu wewe.
Hahahaaaaa wewe ni noma sana. Kumbe hupendi kufa lakini unapenda kufa siku ya ijumaa?
Nani anaetaka kufa? Maisha haya matamu hivi? Halafu ndio yanazidi kuwa matamu maana CCM inafikia ukomo wa chama tawala October.
Nani anaetaka kufa? Maisha haya matamu hivi? Halafu ndio yanazidi kuwa matamu maana CCM inafikia ukomo wa chama tawala October.
Sidhan kama ni matam kuliko ya peponi!Na njia ya kwenda peponi ni kifo tu
Sasa mbona wewe huendi, au huyataki hayo matamu? Hahahahaaaa, just joking...
Si kweli kuna maana kubwa sana
sidhani. poleni mkuu
Wewe mwenyewe ni Tahira la Mirembe. Kwahiyo hata unachouliza ni Utahira tu.
Pole sana kwa msiba
We ni punda kabisa.... Kosa la mtoa mada ni nini??? Kama huelewi si unapita tu... Mseeengerema wewe nyumbani kwetu pazuri... Karibu Mkuu..
Umekurupuka wewe. Haujajua unachoandika. Tahira la Mirembe ni jina lake wala mimi sijamtukana ila wewe ndo umenitukana. Labda niseme kuwa wewe ni FISI na Msengerema.
Hiyo mdogo wako alikuwa pepo mdogo mnayeishi Naye,kiarabu tunamwita kibriii,na alivyokufa alikimbilia baharini,yupo baharini na jibriii,na huyo mdogo wako siku za uhai wake alikuwa anapenda kura unga,na kwa week lazima aamke saa Tisa usiku kukojoa kwa week Mara 3