Alikufa tar 24/7 na alizaliwa tar 24/7 na zote zikiwa ni Ijumaa

We jamaa uko deep sana, nami pia najaribu kusadiki uliyonena juu ya jamaa huyo.
 
Mm nadhan kuna uhusiano flan, mfano mm mwanangu alizaliwa march 21 tarehe aliyo zaliwa braza, ajabu yake mtoto wa braza akaja kuzaliwa tarehe niliyozaliwa mm. Ngoja. Waje wataalamu watuambie vzr

Duuh aisee hata yako kali.
 
Kwani kuna ajabu gani? Mimi mwenyewe nilizaliwa siku ya Ijumaa na natamani nife siku ya Ijumaa. ...kwa waislam wanajua namaanisha nini.

Weee nifah wewe
 
Last edited by a moderator:
Kwani kuna ajabu gani? Mimi mwenyewe nilizaliwa siku ya Ijumaa na natamani nife siku ya Ijumaa. ...kwa waislam wanajua namaanisha nini.

Weee bidada lile jukwaa uloniad cjaiona mpk leo nifah
 
Last edited by a moderator:

Umesahau kuwa alizaliwa Muhimbili Hospital na pia amefia Muhimbili
 
Umesahau kuwa alizaliwa Muhimbili Hospital na pia amefia Muhimbili

Mkuu naamini tutakuwa tunafahamiana, au ulikuwa unamfahamu marehemu? Embu nitajie jina lake moja tu maana ni kweli alizaliwa muhimbili na amefia muhimbili.
 
Mkuu naamini tutakuwa tunafahamiana, au ulikuwa unamfahamu marehemu? Embu nitajie jina lake moja tu maana ni kweli alizaliwa muhimbili na amefia muhimbili.

mie ndio niliesimamia kuanzia ujenzi mpaka ujengaji wa kaburi la John
 
Mkuu naamini tutakuwa tunafahamiana, au ulikuwa unamfahamu marehemu? Embu nitajie jina lake moja tu maana ni kweli alizaliwa muhimbili na amefia muhimbili.

Mkuu mshana Jr ulichokiongea hapo kama mtu hakijawahi kumkuta hataamini,niligombana na mtu kwenye bus na matusi nikammwagia ikaja kutokea nataka kununua kiwanja,madalali wametafuta nimeenda kukiona nikakipenda bei nikaongea na jamaa kwenye simu tukaelewana vizuri na nikafahamiana na majirani kabisa siku ya kwenda kulipa,huwezi amini nikakutana uso kwa uso na jamaa nilitemtukana kwenye daladala,siku hiyo ndo nijua nini maana ya "utatamani ardhi ipasuke ujichimbie",haya mambo ya kumpa mtu shit huku humjui haifai kabisa maana hujui atakusaidia vipi,sas'ivi kila mtu namuheshimu awe mdogo awe mkubwa.
 
Last edited by a moderator:
We taira la mirembe kweli!
 
Si umeelewa lakn kwamba kafiwa au
 
Shetani amehusikaje hapo???.

Shetani ana uhusiano mkubwa na ijumaa na lugha ya kiarabu, nikiwa shule wadada ambao walikuwa wanapandisha mapepo wakizungumzaga kiarabu pia
Pole Wafiwa.
 
Jina lako siyo Matakataka? Kama ndiyo sasa sitajibizana na Matakataka tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…