Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Ommy dimpoz inasemekana kaoa juzijuzi bana πNdio huyo huyo kitaani tunamwita kaka mwarabu mzee wa kudhulumu mali za watuπππ
Wale watu wamemuharibu Ommy Nyembo na pia yule Gavana wa zamani wa mombasa.Kama kaoa ni jambo la kheri kwa ndugu yetu.Ommy dimpoz inasemekana kaoa juzijuzi bana π
Nilipita mikocheni karibu na nyumbani kwake wiki hii iliyopita pale mikocheni, mtaa wa Sayore nikapishana na mrembo wa kiarabu kajisitiri... huenda ndo chombo chake.
Habari zaidi za undani wa hao mabwana na urafiki wao anaujua cocastic π ππΎ
Unachangaya majengo mkuu kumekucha plaza kuna baa si ni fremu tupu au unasema piala ndio watu wanahama hamna biashara pale kodi kubwaMmiliki amefanya investment kubwa sana hapo ila bahati mbaya hakuna output... watu wanapanga fremu miezi sita wanakimbia. Jengo kubwa lakini pako empty! Atleast hiyo bar hapo ndo inachangamsha.
Huenda sipafahamu vizuri. Nazungumzia lile jengo liko karibu na kanisa kuna baa pale juu inabamba sana!Unachangaya majengo
Mkuu kumekucha plaza kuna baa au frem
Hiyo ni piala unasema ndio kodi kubwa na biashara ngumuHuenda sipafahamu vizuri. Nazungumzia lile jengo liko karibu na kanisa kuna baa pale juu inabamba sana!
Sasa si yeye mwenyewe anataka kujipendekeza kwa vijana wa kiume wa kiarabu?! Nani alisemaga kuna urafiki wa mtu mweupe mwenye asili ya Asia na mwafrika mweusi?! Hao na sisi we totally different! Ni shobo na kulazimisha mamboWale watu wamemuharibu Ommy Nyembo na pia yule Gavana wa zamani wa mombasa.Kama kaoa ni jambo la kheri kwa ndugu yetu.
Pia nasikia mmiliki ni muhaya alidhulumu kiwanja cha kanisa wakampigia maombi na waumini wakafunga kwa ajili yake πHiyo ni piala unasema ndio kodi kubwa na biashara ngumu
Zawadi au hela kwann hukatai πKwahiyo, kama amewahi kutoa hela au zawadi, ndio kigezo cha kutaka mapenzi kwa nguvu?
Madogo wengi maarufu dar wameharibika,ni chakula ya watuπ€£π€£π€£Sasa si yeye mwenyewe anataka kujipendekeza kwa vijana wa kiume wa kiarabu?! Nani alisemaga kuna urafiki wa mtu mweupe mwenye asili ya Asia na mwafrika mweusi?! Hao na sisi we totally different! Ni shobo na kulazimisha mambo
BLACKS AND WHITES ARE NOT RESEMBLES!
Mmiliki wa pale amefariki mkuu baada ya kuanza ujenzi kwa sasa Wanasimamia watoto wake.Pia nasikia mmiliki ni muhaya alidhulumu kiwanja cha kanisa wakampigia maombi na waumini wakafunga kwa ajili yake π
Mpala leo mambo shaghalabagala
INAUMIZA SANA! wana kauli mbiu yao wanasema "whether it's legal or illegal..., we die rich!" π π π πππΎMadogo wengi maarufu dar wameharibika,ni chakula ya watuπ€£π€£π€£
Anha! π€π€π€ ila ni muhaya na wanasema kile kiwanja kilikuwa na mgogoroMmiliki wa pale amefariki mkuu baada ya kuanza ujenzi kwa sasa Wanasimamia watoto wake.
Sijui kuhusu hilo mkuuAnha! π€π€π€ ila ni muhaya na wanasema kile kiwanja kilikuwa na mgogoro
Daah kuna mwanangu mbongo fleva yupo USAFINI mpaka leo siamini kama ni chakula cha wana sijui nini kilimkuta kuchukua tabia ile.Na yule dogo wa kiume wa marehemu mzee MACHACHE ambae ameoa karibuni nae ni pigo hizo hizo.INAUMIZA SANA! wana kauli mbiu yao wanasema "whether it's legal or illegal..., we die rich!" π π π πππΎ
Daah kuna mwanangu mbongo fleva yupo USAFINI mpaka leo siamini kama ni chakula.Sijui nini kilimukuta kuchukua tabia ile.Na yule dogo wa kiume wa marehemu mzee MACHACHE ambae ameoa karibuni.INAUMIZA SANA! wana kauli mbiu yao wanasema "whether it's legal or illegal..., we die rich!" π π π πππΎ
Uchoyo tu unakusumbua wewe binti.Wanaume ni viumbe wa ajabu sana. Baadhi yao wakishahitaji kuwa na mtu, watatumia kila mbinu ili ampate. Tatizo linakuja pale huyo asipokubaliana na suala lake.
Wengi huchukia na hadi kutengeneza uadui. Hivi, niwaulize wanaume kwanza...hamuwezi kujenga urafiki na mtu bila mapenzi? Kwanini wengi wako hivyo?
Yaani.
Sasa hili jitu lilifikaje kwako πBora mtu akuombe unaweza mwambia kistarabu ndio au hapana.
Ety jitu linalazimisha alf sio bwana angu na sikuwai kufikilia.
Ukiona na mvua hizi hujaenda kwa Wahaya, au kona bar jijue uko salama aiseeMtu wangu wa nguvu Bujibuji Simba Nyamaume umepotea, upo salama?
Ungekuwa ni wewe ungempa kila anayekuomba? Hata akiwa Mme wa dada/rafiki au ndg yako wa karibu?Uchoyo tu unakusumbua wewe binti.
Kitu Mungu amekupa bure, kwanini umnyime mwenzio? isitoshe hata ukimpa haondoki nacho wala haachi alama