Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Ommy dimpoz inasemekana kaoa juzijuzi bana 😊Ndio huyo huyo kitaani tunamwita kaka mwarabu mzee wa kudhulumu mali za watu😂😂😂
Nilipita mikocheni karibu na nyumbani kwake wiki hii iliyopita pale mikocheni, mtaa wa Sayore nikapishana na mrembo wa kiarabu kajisitiri... huenda ndo chombo chake.
Habari zaidi za undani wa hao mabwana na urafiki wao anaujua cocastic 😅👍🏾