Alikuwa amejiandaa kunyanyua simu alipoona chawa kakataliwa live, akaenda zake kulala

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,505
Reaction score
40,002
Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.

Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo za vitoto vya Nyerere.

Jana unaambiwa bibi alitaka kuongea moja kwa moja kupitia simu pale mjini mlimani na yule chawa alijiandaa kwa hilo kama kupima upepo akaanza na vile vijimaneno.

Bibi hakuamini macho yake kuwa bado hatumuelewi. Ilibidi tu aende kulala. Lile chawa lililokuwa linapeperusha mabendera mitaani kipindi kile lilitegemea kupata ujiko kupitia simu ya bibi kwa chawa wake ila likabuma.

Kiufupi shoo iligonga mahala pake. Kama vipi andaeni tena tuzidi kuwatemeeni nyongo. Hamtakiwi mpaka milele yote. Shoo ile nimeipitisha mia kwa mia.

Chawa wahedi.
Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha.
 
Binafsi naamini kabisa kuwa hiki kizazi ndiyo kitakuwa cha kwanza kuwaondoa ccm madarakani.
 
🤣🤣🤣😂😂😂😂😆 Nmechek san chawa, alivosagiwa kunguni
 
Kwa mara ya kwanza mashabiki wa Bongo Fleva wameonesha ukomavu!
 
Back
Top Bottom