TANMO
Platinum Member
- Apr 12, 2008
- 12,199
- 13,029
Mkuu Hali ni mbaya kuliko tunavyodhani...Watanganyika tunaweza sana kumuondoa Samia na genge lake, ni yupi wa kuanza tuu kuliamsha
Ni sawa na kusema tayari Petrol imeshasambaa kwenye nyasi Kavu ila hapajatokea Cheche za kusababisha Mlipuko...