Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Mwaka mbaya!Plz,
can you share that nonsense a little bit gentleman?
I think it will be much better, right?š

Pesa zipi?. Za kiingilio?Mama atakuwa kafura mbaya. Pia angesema amatoa pesa yeye.
Hasa ukiwa mweshimiwa!šKuzomewa inaumiza kuliko maelezo
Mivutano ya kutengenezwa na outsiders hiyo. Kwani imeanza leo?Mvutano ndani ya chama and all that, ila progress sio mbaya... It's now coming to an end na watapatana nguvu itakuwa kubwa na eventually watz tutakuwa more trusting kwao
Ameshajanusha kitamboooš¤£š¤£š¤£š¤£Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha.
Mamako kilazaa amekataliwa duniani na mbinguni!.
Kila wanapotafuta chocho la kujipata ni kuzomea tuuKuzomewa inaumiza kuliko maelezo
Jina la Nyerere linatumika vibaya sana na wapumbavu ...tz marais ni wawili tu Nyerere na Magufuli wengine wote ni vinyesi tuHiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.
Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo za vitoto vya Nyerere.
Jana unaambiwa bibi alitaka kuongea moja kwa moja kupitia simu pale mjini mlimani na yule chawa alijiandaa kwa hilo kama kupima upepo akaanza na vile vijimaneno.
Bibi hakuamini macho yake kuwa bado hatumuelewi. Ilibidi tu aende kulala. Lile chawa lililokuwa linapeperusha mabendera mitaani kipindi kile lilitegemea kupata ujiko kupitia simu ya bibi kwa chawa wake ila likabuma.
Kiufupi shoo iligonga mahala pake. Kama vipi andaeni tena tuzidi kuwatemeeni nyongo. Hamtakiwi mpaka milele yote. Shoo ile nimeipitisha mia kwa mia.
Chawa wahedi.
Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha.
Na hiyo ndio iwe dawa Yao Kila wakileta siasa za miaka ya Nyerere sehemu isiyohitaji siasa basi ni kuwazomea tu.Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.
Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo za vitoto vya Nyerere.
Jana unaambiwa bibi alitaka kuongea moja kwa moja kupitia simu pale mjini mlimani na yule chawa alijiandaa kwa hilo kama kupima upepo akaanza na vile vijimaneno.
Bibi hakuamini macho yake kuwa bado hatumuelewi. Ilibidi tu aende kulala. Lile chawa lililokuwa linapeperusha mabendera mitaani kipindi kile lilitegemea kupata ujiko kupitia simu ya bibi kwa chawa wake ila likabuma.
Kiufupi shoo iligonga mahala pake. Kama vipi andaeni tena tuzidi kuwatemeeni nyongo. Hamtakiwi mpaka milele yote. Shoo ile nimeipitisha mia kwa mia.
Chawa wahedi.
Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha.
anazidi kuharibu kuwaita activists magaidiSamia ameoza ni mzoga kila MTU anamkataa
Wakati anajiandaa kunyanyua hiyo simu,wewe ulikuwa unamuona?Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.
Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo za vitoto vya Nyerere.
Jana unaambiwa bibi alitaka kuongea moja kwa moja kupitia simu pale mjini mlimani na yule chawa alijiandaa kwa hilo kama kupima upepo akaanza na vile vijimaneno.
Bibi hakuamini macho yake kuwa bado hatumuelewi. Ilibidi tu aende kulala. Lile chawa lililokuwa linapeperusha mabendera mitaani kipindi kile lilitegemea kupata ujiko kupitia simu ya bibi kwa chawa wake ila likabuma.
Kiufupi shoo iligonga mahala pake. Kama vipi andaeni tena tuzidi kuwatemeeni nyongo. Hamtakiwi mpaka milele yote. Shoo ile nimeipitisha mia kwa mia.
Chawa wahedi.
Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha.
Na wewe nae ni walewale soln Nini? Watumie njia Gani? Je wakeshe kanisani wakiomba? Au waende kwa waganga wa kienyeji?? ...........!!!!Kuna transition ingefanyika ku hand over Toka CCM iliyozoeleka kwenda ccm mpya yenye nembo nyingine!!
Lakini Kuna wajinga hawakutaka kufikiria wakayalinda mazoea kwa mtutu wa bunduki ndio ikazaa mwembechai then oktoba Hadi leo!!
Tukumbuke chama hiki ni tambiko pia na linahitaji Damu ili lishibe kama sio ajali ni risasi za moto!!
Nchi inapaswa ikombolewe rohoni kwanza kabla ya mwilini!!
Tatizo chadema na kina heche wanataka kuikomboa nchi mwilini badala ya rohoni matokeo yake ni kushibisha damu majini, mapepo na matambiko ya chama damu ili kiendelee kutawala!!
Not that way I say!!
Utaingiza bara barani vijana wachapwe risasi then mapepo yalambe hiyo damu then chama kiendelee kushika hatam!!
Mnafikiri mauaji ya kimbari ya Rwanda yalifanyika kwa bahati mbaya!!?ilikua kushibisha damu mapepo ili awamu ya atakaeshika ije itulia kama hivi leo!!
Makinikeni acheni kuandamana!!
Ni suala la muda tu..Hali ni mbaya sana kwa ccm, ukivaa nguo ya ccm mtaani watu wanakuona kama mtu fulani hivi wa ajabu.
Hii taarifa imfikie kila mTanzania alipo.Najua utabisha chawa wewe!
View attachment 3626885