Alikuwa amejiandaa kunyanyua simu alipoona chawa kakataliwa live, akaenda zake kulala

Nguruwe nyinyi kuleni mavi yenu, mama yenu anahara baada ya chawa wake kuzomewa kama mbiti milulu.
Pole sana, ni kawaida mno kwenye ulimwengu wa siasa.....ni kwa vile tu nyie manyumbu mna hasira zenu ndo maana. Iko hivi, ewe nyumbu, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, daima mbele yenu ataibuka mshindi. Yupo Hadi 2030, mtake msitake 😊😊😊😊
 
Hahahahaaa! Nyumbu bwana, wanachekesha sana!!
Najua utabisha chawa wewe!
Screenshot_20260710-075429~2.png
 
Hivi Mr 2 alikuwepo, sikuangalia show, haya Sasa watu wazito kama hao wawepo alaf ulete ujinga wako Nan! Atakubali
 
Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.

Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo za vitoto vya Nyerere.

Jana unaambiwa bibi alitaka kuongea moja kwa moja kupitia simu pale mjini mlimani na yule chawa alijiandaa kwa hilo kama kupima upepo akaanza na vile vijimaneno.

Bibi hakuamini macho yake kuwa bado hatumuelewi. Ilibidi tu aende kulala. Lile chawa lililokuwa linapeperusha mabendera mitaani kipindi kile lilitegemea kupata ujiko kupitia simu ya bibi kwa chawa wake ila likabuma.

Kiufupi shoo iligonga mahala pake. Kama vipi andaeni tena tuzidi kuwatemeeni nyongo. Hamtakiwi mpaka milele yote. Shoo ile nimeipitisha mia kwa mia.

Chawa wahedi.
Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha.
Faki zati bi+ch!
 
Acha siasa za kishamba, CCM haiwezi kutolewa hivyo na usifikiri chadema ndiyo inapendwa. Chadema haiwezi kuitoa CCM, CCM itajiua yenyewe
 
Hivi kabisa unatafuta credit kwa mtu kama dudubaya we angalia jina tu lilivyokaa
 
Kuna transition ingefanyika ku hand over Toka CCM iliyozoeleka kwenda ccm mpya yenye nembo nyingine!!

Lakini Kuna wajinga hawakutaka kufikiria wakayalinda mazoea kwa mtutu wa bunduki ndio ikazaa mwembechai then oktoba Hadi leo!!

Tukumbuke chama hiki ni tambiko pia na linahitaji Damu ili lishibe kama sio ajali ni risasi za moto!!

Nchi inapaswa ikombolewe rohoni kwanza kabla ya mwilini!!

Tatizo chadema na kina heche wanataka kuikomboa nchi mwilini badala ya rohoni matokeo yake ni kushibisha damu majini, mapepo na matambiko ya chama damu ili kiendelee kutawala!!

Not that way I say!!

Utaingiza bara barani vijana wachapwe risasi then mapepo yalambe hiyo damu then chama kiendelee kushika hatam!!

Mnafikiri mauaji ya kimbari ya Rwanda yalifanyika kwa bahati mbaya!!?ilikua kushibisha damu mapepo ili awamu ya atakaeshika ije itulia kama hivi leo!!

Makinikeni acheni kuandamana!!
 
Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.

Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo za vitoto vya Nyerere.

Jana unaambiwa bibi alitaka kuongea moja kwa moja kupitia simu pale mjini mlimani na yule chawa alijiandaa kwa hilo kama kupima upepo akaanza na vile vijimaneno.

Bibi hakuamini macho yake kuwa bado hatumuelewi. Ilibidi tu aende kulala. Lile chawa lililokuwa linapeperusha mabendera mitaani kipindi kile lilitegemea kupata ujiko kupitia simu ya bibi kwa chawa wake ila likabuma.

Kiufupi shoo iligonga mahala pake. Kama vipi andaeni tena tuzidi kuwatemeeni nyongo. Hamtakiwi mpaka milele yote. Shoo ile nimeipitisha mia kwa mia.

Chawa wahedi.
Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha.
Aligombana na waganga wake kutoka Comoro waliomdanganya,
 
Huyu kenge kaaribu sana show!..
 
Huo ndio mwanzo wa nyakati.
 
Millennials wa 1980 leo ana miaka 46, Sasa tuwape muda wa miaka 10 ijayo ndiyo tutakuwa imara zaidi.

CCM OYEEEE
 
Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.

Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo za vitoto vya Nyerere.

Jana unaambiwa bibi alitaka kuongea moja kwa moja kupitia simu pale mjini mlimani na yule chawa alijiandaa kwa hilo kama kupima upepo akaanza na vile vijimaneno.

Bibi hakuamini macho yake kuwa bado hatumuelewi. Ilibidi tu aende kulala. Lile chawa lililokuwa linapeperusha mabendera mitaani kipindi kile lilitegemea kupata ujiko kupitia simu ya bibi kwa chawa wake ila likabuma.

Kiufupi shoo iligonga mahala pake. Kama vipi andaeni tena tuzidi kuwatemeeni nyongo. Hamtakiwi mpaka milele yote. Shoo ile nimeipitisha mia kwa mia.

Chawa wahedi.
Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha.
Nilipenda alipostopishwa "Serikali ya awamu ya sita ya"

yaani ilibaki kidogo aongee ujinga, wanaojielewa wakawahi kumzomea 😁😁
 
Back
Top Bottom