Mkuu Hali ni mbaya kuliko tunavyodhani...Watanganyika tunaweza sana kumuondoa Samia na genge lake, ni yupi wa kuanza tuu kuliamsha
Hapa tlaahtlaah na Lukas mwashambwa watapita kimyaa,kama vile hawana bando!Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.
Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo za vitoto vya Nyerere.
Jana unaambiwa bibi alitaka kuongea moja kwa moja kupitia simu pale mjini mlimani na yule chawa alijiandaa kwa hilo kama kupima upepo akaanza na vile vijimaneno.
Bibi hakuamini macho yake kuwa bado hatumuelewi. Ilibidi tu aende kulala. Lile chawa lililokuwa linapeperusha mabendera mitaani kipindi kile lilitegemea kupata ujiko kupitia simu ya bibi kwa chawa wake ila likabuma.
Kiufupi shoo iligonga mahala pake. Kama vipi andaeni tena tuzidi kuwatemeeni nyongo. Hamtakiwi mpaka milele yote. Shoo ile nimeipitisha mia kwa mia.
Chawa wahedi.
Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha.
Usitujumlishe, unakosea,Hawa ni wajinga tuu,Kila generation hawakosekani mkuu!Nyie vitoto vya Nyerere jau sana. Mnasifia hata kinyesi
Hapo alitumia ushauri wa J Kikwete usemao ...za kuambiwa changanya na zako.Ila ilikuwa ni aibu sana. Ikabidi aseme no problem.
Nguruwe nyinyi kuleni mavi yenu, mama yenu anahara baada ya chawa wake kuzomewa kama mbiti milulu.Nasemaje, nyumbu mnachekesha sana!
Mamako kilazaa amekataliwa duniani na mbinguni!.Hahahahaaa! Nyumbu bwana, wanachekesha sana!!
Tlaatlaah atakwambia nonsenseHapa tlaahtlaah na Lukas mwashambwa watapita kimyaa,kama vile hawana bando!
Hali ni mbaya sana kwa ccm, ukivaa nguo ya ccm mtaani watu wanakuona kama mtu fulani hivi wa ajabu.Mkuu Hali ni mbaya kuliko tunavyodhani...
Ni sawa na kusema tayari Petrol imeshasambaa kwenye nyasi Kavu ila hapajatokea Cheche za kusababisha Mlipuko...
wanataka kufubaza kumbukumbu zetu haiwezekaniShow ya akina Tale ma-ccm yote.
Hatujasahau damu za ndugu zetu.
Ila Tanzania kuna mambo ya ******* sana.Mama atakuwa kafura mbaya. Pia angesema amatoa pesa yeye.
Bado wanafanya siasa za kikale sana. Hawajui kusoma upepo na kuandaa mpango mzuri wa kuwa manipulate watu. Mbinu zao ni zilezile zilizopitwa na wakati, hawajui wana deal na akili za kisasa zaidi. Acha wazomeweHuku kulikuwa na msiba sasa sijui kwa ujuha au kujisahau, mhe mbunge aliomba atoe salamu za rambi rambi akajitusu akaanza kusema lile pambio maarufu kama la Mwana FA wee ilibidi wenzake mbogamboga wamkalishe chini chap na kuomba msamaha ilikuwa kwenye msiba wa kaka ya ke mwenezi wa mbogamboga Kyela.
Issue inakuja ipinzani wamekuwa na strategy gani. Hawa wangekuwa wamesha ondolewa madarakani ila sisi wabongo bado tuna dilema ya kuamini wapinzani. Inabidi nao wa level up their game
Huyo ni kenge mwengine anayefanya kazi za chama.Ngoja aje Mzee wa Getleman & nosense
Mvutano ndani ya chama and all that, ila progress sio mbaya... It's now coming to an end na watapatana nguvu itakuwa kubwa na eventually watz tutakuwa more trusting kwaoWalevel up kwa kufanya nn mkuu?
Kipi so far unaona hawajafanya mpaka sasa?