Alikuwa amejiandaa kunyanyua simu alipoona chawa kakataliwa live, akaenda zake kulala

Mvutano ndani ya chama and all that, ila progress sio mbaya... It's now coming to an end na watapatana nguvu itakuwa kubwa na eventually watz tutakuwa more trusting kwao
Mivutano ya kutengenezwa na outsiders hiyo. Kwani imeanza leo?
 
Mamako kilazaa amekataliwa duniani na mbinguni!.

Nyinyi ni Mapepo waongo
Waliokataliwa mbele ya Wananchi mchana kweupe ni Michadema Ushahidi uhoooπŸ‘‡πŸ‘‡
chini apoπŸ‘ˆ

CCM na Rais Dk Samia Suluhu Hassan wapo kwenye nyoyo za Watanzania wengi zaidi!!
 

Attachments

  • Screenshot_20260417-113057~2.png
    1.3 MB · Views: 12
  • 6185098-34c7b9f4eee53e3e336141c880c2b9c1.mp4
    7.3 MB
  • 20250902_065338.jpg
    258.8 KB · Views: 10
  • Screenshot_20250903-155409.jpg
    115.5 KB · Views: 10
  • 6185091-062d1531af93d2f1b8746f218a1bc157.mp4
    17.7 MB
Jina la Nyerere linatumika vibaya sana na wapumbavu ...tz marais ni wawili tu Nyerere na Magufuli wengine wote ni vinyesi tu
 
Nimefurahi sana huyo nyang'au alivyozomewa.

Siku zote ukizuia watu uhuru wa kujieleza watakusubiri mahali tu wautumie uhuru ambapo hujategemea.

Wiko hii policcm iligeuka kitengo cha propaganda cha CCM kupiga mapicha barabarani na kusema mitaa ni shwari watu wamepuuza maandamano huku wakiwa wamejaa na mitutu kila kona.

Utasemaje hali ni shwari wakati mmejaa na mitutu barabarani na meseji za vitisho mnawatumia watu kwenye simu zao?
 
Jana mlimamani city...nimefurahi kwakweli kilichofanyika
 
Na hiyo ndio iwe dawa Yao Kila wakileta siasa za miaka ya Nyerere sehemu isiyohitaji siasa basi ni kuwazomea tu.
 
Wakati anajiandaa kunyanyua hiyo simu,wewe ulikuwa unamuona?
 
Na wewe nae ni walewale soln Nini? Watumie njia Gani? Je wakeshe kanisani wakiomba? Au waende kwa waganga wa kienyeji?? ...........!!!!
 
Hali ni mbaya sana kwa ccm, ukivaa nguo ya ccm mtaani watu wanakuona kama mtu fulani hivi wa ajabu.
Ni suala la muda tu..

Maana tumefikia kwenye Point of no Return..
 
Huyo FA ana bahati sana angeendelea na upuuzi wake wa awamu ya sita tungempiga na chupa za mikojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…