Damu pekee inayosubiriwa na majini/mapepo ni ya Samia Suluhu Hassan na Genge lake.Mnafikiri mauaji ya kimbari ya Rwanda yalifanyika kwa bahati mbaya!!?ilikua kushibisha damu mapepo ili awamu ya atakaeshika ije itulia kama hivi leo!!
Hebu tajaDamu pekee inayosubiriwa na majini/mapepo ni ya Samia Suluhu Hassan na Genge lake.
Usijifanye hujui kuwa wanayo damu vilevile.
Yakibugia hiyo hutayasikia tena yakiihangaisha Tanzania
.
Unataka nikutajie orodha nzima ya GENGE?
Kwani strategy za wapinzani huzijui na huoni dola inavyo pambana tatizo ni wananchi kwa sababubya ujinga wananhongeka kirahisiIssue inakuja upinzani wamekuwa na strategy gani. Hawa wangekuwa wamesha ondolewa madarakani ila sisi wabongo bado tuna dilema ya kuamini wapinzani. Inabidi nao wa level up their game
Mkuu huwa kuna imani fulani lazima iwepo unakumbuka ile imani watz walikuwa nayo kwa Dr silaa? Ndo sasa Inaanz kuja kuja kwa Lissu japo chama nacho kinayumbishana ndani kwa ndani ila naona Wameanza kujipataKwani strategy za wapinzani huzijui na huoni dola inavyo pambana tatizo ni wananchi kwa sababubya ujinga wananhongeka kirahisi
Ila watu ni hatari sana. Sasa ile picha yake anaangalia show sijui waliipataje? Hii ndiyo anaendelea kutuambia aibu tutaona Sisi wao hawaoni aibu!Hiki kizazi cha milenials + genz lazima CCM itoke itake isitake.
Milenials ndiyo kizazi kilichotaka sana mabadiliko sema vitoto vya Nyerere ndiyo vilikuwa kikwazo hivyo milenials wakajikuta wako peke yao. Ila sasa wamepata kizazi chenye kuunga mkono mabadiliko na kumaliza kabisa siasa za hovyo za vitoto vya Nyerere.
Jana unaambiwa bibi alitaka kuongea moja kwa moja kupitia simu pale mjini mlimani na yule chawa alijiandaa kwa hilo kama kupima upepo akaanza na vile vijimaneno.
Bibi hakuamini macho yake kuwa bado hatumuelewi. Ilibidi tu aende kulala. Lile chawa lililokuwa linapeperusha mabendera mitaani kipindi kile lilitegemea kupata ujiko kupitia simu ya bibi kwa chawa wake ila likabuma.
Kiufupi shoo iligonga mahala pake. Kama vipi andaeni tena tuzidi kuwatemeeni nyongo. Hamtakiwi mpaka milele yote. Shoo ile nimeipitisha mia kwa mia.
Chawa wahedi.
Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha.
Sema chama kinayumbishwa na serikali usipindishe maneno wakati ukweli unaujua , we hujui ni mabilioni mangapi serikali inatumia kuhonga baadhi ya viongozi wenye njaa wa upinzani?chama chenyewe hakina shida ila nguvu kubwa inatumika na serikali kukidhohofisha ingawa bado wanakwama chama kina simama tenaMkuu huwa kuna imani fulani lazima iwepo unakumbuka ile imani watz walikuwa nayo kwa Dr silaa? Ndo sasa Inaanz kuja kuja kwa Lissu japo chama nacho kinayumbishana ndani kwa ndani ila naona Wameanza kujipata
Why Mahenge? 😂🤣😂🤣😂Girishoni angekuwa nchini basi leo angeita waandishi Mahenge ndani ndani huko kwenda kukanusha
Ok nimekupata basi hapo wakina Heche wamewezeaSema chama kinayumbishwa na serikali usipindishe maneno wakati ukweli unaujua , we hujui ni mabilioni mangapi serikali inatumia kuhonga baadhi ya viongozi wenye njaa wa upinzani?chama chenyewe hakina shida ila nguvu kubwa inatumika na serikali kukidhohofisha ingawa bado wanakwama chama kina simama tena
Kama kuna utamaduni hatari uliokita mizizi Tanzania leo, basi ni uchawa. Ni janga kubwa kuliko saratani kwa ustawi wa taifa. Unaua ukweli, unahalalisha uongo, unazika uwajibikaji, na kuwafanya wanaosema kweli waonekane maadui. Hakuna taifa linaloweza kujengwa kwa sifa za kupangwa na kuabudiwa kwa viongozi. Taifa hujengwa na ukweli, uwajibikaji, na ujasiri wa kukosoa pale panapokuwa na makosa. Uchawa si uzalendo; ni adui wa maendeleo na kikwazo cha haki.CCM ndio wenye dhamana ya Taifa la Tanzania 👈
Wahuni wapo tu popote hata Viwanjani wapo👈
Kwenye biashara wapo👈
Kwenye kilimo wapo👈
Vip tuwakose kwenye Siasa nk.
Hao jamaa wawili ni balaa kama jina la mshamba mmoja wao. Ni wabishi kiasi cha kubishana na jua.Hapa tlaahtlaah na Lukas mwashambwa watapita kimyaa,kama vile hawana bando!
Wana motisha unaowapa msukumo huo wa kujitoa akili zote vichwani mwao.Hao jamaa wawili ni balaa kama jina la mshamba mmoja wao. Ni wabishi kiasi cha kubishana na jua.
Ila wanafanya makusudi tu.
Huna unalolijua wewe muda si mrefu utafahamu huyo unayemuita duni ni nani.Ninakujuwa vizuri sana tokea Feb. 2012.
Hali ya uduni wa maisha yako ndiko kunakokufanya usijitambue hata wewe mwenyewe.
Hovyo kabisa.
EEeenHEEE!Huna unalolijua wewe muda si mrefu utafahamu huyo unayemuita duni ni nani.