Alikuwa anaenda kuolewa akamtumia ujumbe Ex eti waagane, imefanya niwaze sana kuhusu suala la kuoa

Mwanamke ni sawa na bidhaa ya dukani kabla hujapewa mnunuzi(mume mtarajiwa), muuzaji(Dear X) lazima aweke kwenye mfuko ndio akupe wewe.
 
Wanaume na umbea.... ni nini mbaya na nyie?
Achana naye huyo, nipee mimi uroda nitakusitiri wala sitamwambia hata Shetani siri yetu kabla ya sendoff ya Mchumba wako...[emoji847]

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Tatizo ni kuwa hakuna mwanamke asiye na mwanaume we oa tu
 
Shida ilianzia hapa,
Kuoa/kuolewa sio kama kununua alikasusu,
U need to learn, accept the challenge and build a strong friendship, sio unavamia kama unanunua mkaa!
Ke yeyote lazima tu afiche tabia halisi, ilipaswa;

* Urafiki wa kawaida bila ya Me kumwonesha dalili zozote Ke za kimahaba,

* Mapenzi bila Ke kujua lengo au hatma ya mapenzi.

* Uchumba.

* Ndoa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Wanawake wako wengi sana mkuu, kufanya majumuisho kwa kumuangalia mmoja hujajitendea haki hata kidogo, nakushauri km una plan za kuoa OA tu, wanawake wazuri, wastaarabu wapo sana tu unless km plan yako ni kuhakikisha unakuwa shoga ama baba mwenye watoto waliolelewa kihuni na wasio na maadili. Ni either of the two, huna namna ingine
 
Uzuri bado hawaja oana. So acha binti aage makoloni yake.

Sasa kama alikua anakula 2months before send off. Akiliwa 1 Week before harusi what is the main differrence hapa?

Kwanza hatujui hata buana harusi amelala wapi [emoji16][emoji16]

Acheni watu waishi bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…