mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Hakika wakaagane kwa show moja ya nguvu sana😆Acha tu wakaagane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika wakaagane kwa show moja ya nguvu sana😆Acha tu wakaagane
Show ya kuvunja Chaga.Hakika wakaagane kwa show moja ya nguvu sana😆
Kupinga upumbavu sikuhizi imekua ni umbea?Wanaume na umbea.... ni nini mbaya na nyie
Unamtandika mtu mborlo hadi anaingia siku zake za hedhi pasipo kutarajia mamamamaaaamaaaaeeee!Show ya kuvunja Chaga.
Una ugomvi na chaputa we si bure.
2013 Ke wa Tanga alitafunwa hivyo hivyo na Rafiki yangu usiku kucha, kesho asubuhi safarini toka Dar hadi Tanga kwenye sendoff.Bila shaka ni wa ukanda wa pwani
Majorityty ya wanawake wa pwani yan mtwara Lindi tanga ukioa kuchapiwa lazima
Achana naye huyo, nipee mimi uroda nitakusitiri wala sitamwambia hata Shetani siri yetu kabla ya sendoff ya Mchumba wako...[emoji847]Wanaume na umbea.... ni nini mbaya na nyie?
Oyaa mshamba umemaliza kila kitu🤣🤣Mkuu ungetunukiwa wewe ungekuja kuhadithia hapa? au tungekuona kwa riki boy ukitoa ushuhuda
Tatizo ni kuwa hakuna mwanamke asiye na mwanaume we oa tuJuzi niliudhuria send-off Moja mkoa X, Huyu Binti ni mwenyeji wa huo mkoa, sasa alipata mchumba mkoa mwingine na alikubali kuolewa, aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa, yule mwanamke hakukataa licha ya kua na mahusiano yake ya mwanzo (alikubali kwa sababu mtu wake wa mwanzo alikua aeleweki kuhusu ndoa), huyo mtu wa mwanzo wa bibi harusi ni rafiki yangu,
Send off imefanyika jumapili, leo yupo safarini kwenda kwenye sherehe ya ndoa mkoa mwingine alipo bwana wake mpya, lakini cha kushangaza Jana huyu bibi harusi mtarajiwa alikua anamlazimisha mshikaji wangu ambaye ni ex wa Huyo Bibi harusi, aende wakaagane (sms nilisoma), Tena bibi harusi akasema "usipokuja nitakuchukia maisha yangu yotee, nataka unipe show ya nguvu tuagane"
Nilivyosoma hiyo sms nikajikuta namuonea huruma bwana harusi, huko alipo amepambana kuunda kamati, amekopa ili kufanikisha sherehe, anajua mke wake mtarajiwa yuko kwenye send-off kumbe mke mtarajiwa analilia dudu la yuyu.
Imenifanya niwaze sana na kuona ugumu uliopo kwa vijana wa kipindi hiki kuoa, sometimes nawaelewa wanaosema ni Bora uoe bikra, kwa sababu utakua na assuarance kwamba hiyo kitu haijachakazwaaa.
Kuchakazwa sio shida, shida ni bond waliyokua nayo na mchakazaji, nipo karibu na chuo cha NIT mabibo hapa, naona watoto wanavyochakazana, Yani wanasuguana haswaa mpaka na kufungana kamba, lakini kumbuka huyo ni mke wa mtu mwingine wa baadae.
Kizazi hiki ukiona mtu ameoa, ujue amekubaliana kujivika mabomu, Tena akiwa ni msomi, yaani umekutana nae baada ya kumaliza chuo sijui kama atakuheshimu, na ukimkuta yupo kazini basi wewe vidonge vya pressure jitahidi uanze kuvijua mapema.
Shida ilianzia hapa,aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa,
Lazima Ke azibuliwe mtaro, Ke hana kizibua mtaro wa Me, nasema uwongo Ndugu yangu?Lazima wakazibuane mitaro huko
Ova
😂😂😂Oyaa mshamba umemaliza kila kitu🤣🤣
Ke yeyote lazima tu afiche tabia halisi, ilipaswa;Shida ilianzia hapa,
Kuoa/kuolewa sio kama kununua alikasusu,
U need to learn, accept the challenge and build a strong friendship, sio unavamia kama unanunua mkaa!
Wanawake wako wengi sana mkuu, kufanya majumuisho kwa kumuangalia mmoja hujajitendea haki hata kidogo, nakushauri km una plan za kuoa OA tu, wanawake wazuri, wastaarabu wapo sana tu unless km plan yako ni kuhakikisha unakuwa shoga ama baba mwenye watoto waliolelewa kihuni na wasio na maadili. Ni either of the two, huna namna ingineJuzi niliudhuria send-off Moja mkoa X, Huyu Binti ni mwenyeji wa huo mkoa, sasa alipata mchumba mkoa mwingine na alikubali kuolewa, aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa, yule mwanamke hakukataa licha ya kua na mahusiano yake ya mwanzo (alikubali kwa sababu mtu wake wa mwanzo alikua aeleweki kuhusu ndoa), huyo mtu wa mwanzo wa bibi harusi ni rafiki yangu,