Alikuwa anaenda kuolewa akamtumia ujumbe Ex eti waagane, imefanya niwaze sana kuhusu suala la kuoa

Alikuwa anaenda kuolewa akamtumia ujumbe Ex eti waagane, imefanya niwaze sana kuhusu suala la kuoa

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2022
Posts
1,842
Reaction score
6,087
Juzi niliudhuria send-off Moja mkoa X, Huyu Binti ni mwenyeji wa huo mkoa, sasa alipata mchumba mkoa mwingine na alikubali kuolewa, aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa, yule mwanamke hakukataa licha ya kuwa na mahusiano yake ya mwanzo (alikubali kwa sababu mtu wake wa mwanzo alikuwa haeleweki kuhusu ndoa), huyo mtu wa mwanzo wa bibi harusi ni rafiki yangu.

Send off imefanyika Jumapili, leo yupo safarini kwenda kwenye sherehe ya ndoa mkoa mwingine alipo bwana wake mpya, lakini cha kushangaza Jana huyu bibi harusi mtarajiwa alikua anamlazimisha mshikaji wangu ambaye ni ex wa Huyo Bibi harusi, aende wakaagane (SMS nilisoma), Tena bibi harusi akasema "usipokuja nitakuchukia maisha yangu yotee, nataka unipe show ya nguvu tuagane"

Nilivyosoma hiyo sms nikajikuta namuonea huruma bwana harusi, huko alipo amepambana kuunda kamati, amekopa ili kufanikisha sherehe, anajua mke wake mtarajiwa yuko kwenye send-off kumbe mke mtarajiwa analilia dudu la yuyu.

Imenifanya niwaze sana na kuona ugumu uliopo kwa vijana wa kipindi hiki kuoa, sometimes nawaelewa wanaosema ni bora uoe bikra, kwa sababu utakua na assuarance kwamba hiyo kitu haijachakazwaaa.

Kuchakazwa sio shida, shida ni bond waliyokua nayo na mchakazaji, nipo karibu na chuo cha NIT mabibo hapa, naona watoto wanavyochakazana, Yani wanasuguana haswaa mpaka na kufungana kamba, lakini kumbuka huyo ni mke wa mtu mwingine wa baadae.

Kizazi hiki ukiona mtu ameoa, ujue amekubaliana kujivika mabomu, Tena akiwa ni msomi, yaani umekutana nae baada ya kumaliza chuo sijui kama atakuheshimu, na ukimkuta yupo kazini basi wewe vidonge vya pressure jitahidi uanze kuvijua mapema.
 
Howcome mwanamke wa kwenye sendoff yenu ndio iwe conclusion nya wanawake zaidi ya bilioni 3.9 wanaoishi hapa duniani? Au ulimaanisha wanawake unaowajua wewe?
 
Kuoa ni nini zaidi ya Utamaduni ambao watu wamejiwekea na kuishi kutokana na matakwa yao.....

Kwahio kama wote ni nyoka wanawake na wanaume basi ni vema wakaoana hao nyoka ili waweze kutunza vizuri offspring zao....

Kwahio to each their own..., wanaotaka sawa na wasiotaka sawa ila si Sawa kupangiana au kushauriana vinginevyo...
 
Juzi niliudhuria send-off Moja mkoa X, Huyu Binti ni mwenyeji wa huo mkoa, sasa alipata mchumba mkoa mwingine na alikubali kuolewa, aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa, yule mwanamke hakukataa licha ya kua na mahusiano yake ya mwanzo (alikubali kwa sababu mtu wake wa mwanzo alikua aeleweki kuhusu ndoa), huyo mtu wa mwanzo wa bibi harusi ni rafiki yangu,

Send off imefanyika jumapili, leo yupo safarini kwenda kwenye sherehe ya ndoa mkoa mwingine alipo bwana wake mpya, lakini cha kushangaza Jana huyu bibi harusi mtarajiwa alikua anamlazimisha mshikaji wangu ambaye ni ex wa Huyo Bibi harusi, aende wakaagane (sms nilisoma), Tena bibi harusi akasema "usipokuja nitakuchukia maisha yangu yotee, nataka unipe show ya nguvu tuagane"

Nilivyosoma hiyo sms nikajikuta namuonea huruma bwana harusi, huko alipo amepambana kuunda kamati, amekopa ili kufanikisha sherehe, anajua mke wake mtarajiwa yuko kwenye send-off kumbe mke mtarajiwa analilia dudu la yuyu.

Imenifanya niwaze sana na kuona ugumu uliopo kwa vijana wa kipindi hiki kuoa, sometimes nawaelewa wanaosema ni Bora uoe bikra, kwa sababu utakua na assuarance kwamba hiyo kitu haijachakazwaaa.

Kuchakazwa sio shida, shida ni bond waliyokua nayo na mchakazaji, nipo karibu na chuo cha NIT mabibo hapa, naona watoto wanavyochakazana, Yani wanasuguana haswaa mpaka na kufungana kamba, lakini kumbuka huyo ni mke wa mtu mwingine wa baadae.

Kizazi hiki ukiona mtu ameoa, ujue amekubaliana kujivika mabomu, Tena akiwa ni msomi, yaani umekutana nae baada ya kumaliza chuo sijui kama atakuheshimu, na ukimkuta yupo kazini basi wewe vidonge vya pressure jitahidi uanze kuvijua mapema.
huyo biharus ana kitu ya kuitwa guilty conscious kamtendea jamaa yako ndivyo sivyo so anajaribu tu kufanya kitu kitakacho mpa ahueni kwa alichomtendea jamaa yako ambaye katika hii scenario ni kwamba kapigwa kanzu kwa sababu ya mpunga au factor nyinginezo ongea na mwanao asikubali kutumika
 
Aende kumuaga tu, ataolewa atazaa wakishindwana wataachana wasiposhindwana ndoa itadumu. Ifike wakti usicomplicate masuala ya ngono. Hakuna jipya chini ya jua. Wewe unatembea na mwanamke anayetumika na wengine kwa uhuru kuliko hata anayetembea na mke aliyemuoa.
 
huyo biharus ana kitu ya kuitwa guilty conscious kamtendea jamaa yako ndivyo sivyo so anajaribu tu kufanya kitu kitakacho mpa ahueni kwa alichomtendea jamaa yako ambaye katika hii scenario ni kwamba kapigwa kanzu kwa sababu ya mpunga au factor nyinginezo ongea na mwanao asikubali kutumika
Hapana jamaa yangu hakua na muda wa kuoa Kwa Sasa, walikua wanatumiana tu hawakua na future yoyote, Tena mwanamke alimzidi jamaa yangu miaka kama miwili.
 
Back
Top Bottom