Alikuwa ananikwepa kabla hajazaa, sasa ana mapacha anataka nimuoe!

Ndiyo maana yake sasa wewe ulikuwa maneno matupu wakati mwenzako muuza chips anatoa chips kuku soseji na soda na pesa za vocha ana tuma" sasa wewe ulitaka kuingia kwa nguvu.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Kitu ambacho yule binti hakujua, kipindi kile nilikua na pesa nyingi za kuhonga honga maana sikua na majukumu. Lakini hakunipa hata chance ya kua nae karibu alikua ananikwepa sana. Akaishia kwenda kwa mkaanga chipsi
 
Umekuwa wewe ndiye jalala Sasa baada ya kuwa amekosa usajili eapl league ndio anaona aje kwako ligi ya mchangani. Ila mademu bana hawawezagi kutenganisha white and black. Wakati akiwa hot akiwa anaitwa kila kona huwa anavimba mno kichwa ujue
Tatizo wanaweweseka na mabishoo wa kuuza nao sura halafu wenye nia za kuoa wanatupotezea
 
Kitu ambacho yule binti hakujua, kipindi kile nilikua na pesa nyingi za kuhonga honga maana sikua na majukumu. Lakini hakunipa hata chance ya kua nae karibu alikua ananikwepa sana. Akaishia kwenda kwa mkaanga chipsi
Labda ulikuwa siriasi sana na ukujaribu kujenga ukaribu nae, kuna wasichana wengine ni waoga kuzoea wanaume kwa haraka haraka,au muonekano wako na muhuza chips unapishana sana. Na Mwanamke akijua una muhitaji sana lazima atasumbua na kumpata ni asilimia ndogo sana.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Nilijaribu kumtega kumuuliza kwann kipindi kile kabla hajapigwa mimba alinikataa. Akadai tu utoto hakua anajitambua na alikua anadanganywa na wenzake. Sasa hivi anataka nimpe second chance tufanye maisha.
Unaonekana wewe ni walewale, kama anajua kubembeleza kwanini hambembelezi huyo aliyezaa nae?
Kama humtaki umekuja humu kutafuta nini?
 
Mbaya sana hii 😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…