Alikuwa ananikwepa kabla hajazaa, sasa ana mapacha anataka nimuoe!

Wanawake labda huenda ni kwa kutokutufahamu sisi wanaume, Sisi hatupendi kuwa second option baada ya wao kufeli huko hasahasa kuzalishwa, ni kama dharau bora wake want move on mazima
Wanajua. Wanafanya kusudi sababu wanajua kuna back up ya jamii kuwatetea. Kwa mfano watasema kitanda hakizai haramu, mtoto wa mwenzio ni wakwako etc.

Wengi wanaamini wakishaharibu basi wanastahiri kutazamwa kwa jicho la huruma. Ukitaka kujua viburi vyao na wanafanya makusudi tafuta mabinti ambao bado wapo kwenye peak sasa halafu Jenga nao mazungumzo kuhusu haya maswala kisha sikia hoja zao.

Kwanza wataonyesha kama wanakuelewa ila hayo unayoongea wao hayawahusu na wala hayatawakuta.
 
Umemaliza kila kitu mkuu [emoji375][emoji375][emoji375]
 
Wengi wao hawajui wanataka nini?

Mtaani kulikuwa na kasichana kutoka Kijijini kalikuja kufanya kazi za ndani na boss wake alikuwa anamjali na kumlipa vizur sanaa

Nilimfukuzia sanaa mwisho wa siku nilimpata ila kwa mashart makali sanaa yaani sawa sawa na hakuwa mpenzi wangu na wakati tulikubaliana ni wapenzi, alinipa tabu sanaa na hakuwa mpenzi wangu wa kwanza na nilikapenda sanaa , zawadi , mahitaji yote nilikuwa nampa na nikamuomba nikatoe barua kwao akakataa akanambia tuwe tu kwenye mahusiano yeye hana mpango wa kuolewa Kwa mda ule- kwenye kipindi chote hicho alinipa tunda mara moja tu na kishingo upande- nilidumu nae miaka 5 , na nililala nae mara moja tu, kuna kipindi nilichoka nikampa mkono wa kwaheri nikaendelea na harakati zangu, kidogo nikaanza kuona mambo yangu yananinyookea sijui kama hakuwa ananifanyia ushirikina yule dada, ila ni kazur hatari

baada ya kupiga chini , mwaka kama na nusu hivi sikumuonaga

Kumbe aliitwagwa kwao na kulazimishwa kuolewa huko kinguvu na jamaa nasikia alitoaga mahali kwa Baba yake bila hata kumuona binti jamaa akawa anamtesa na kumfungia ndani akirudi kazini yeye anakula tunda tu hasubuhi tena anamla akitaka kwenda kazini anamfungia demu .. jamaa yeye ndio ulikuwa utaratibu wake nafikiri alikuwa anahofia kuwa atatoroka aliishi nae hivyo kwa muda wa mwaka mzima mpaka binti kupata ujauzito na ndio kumruhusu aende akajifungulie kwao

Baada ya kurudi kwao ndio akapata nafasi ya kuwasiliana na boss wake ndio boss akamwambia akijifungua aje mjini na mtoto wake yeye boss atamsaidia kumlea yeye na mtoto wake- ila walikubaliana atoroke kwao maana kwao walikuwa kama wamemuuza vilee Kwa jamaa

Nnavyokwambia- nimekutana nae town, alinililia barabarani sijui kama vilee amenikosea kitu gani? Akiwa na mtoto mgongoni, watu wakaanza kutujalia ndio nikambembeleza Kwa kuogopa kujaliwa na watu wengi njiani

Nikatafuta kajisehemu cha Chipsi nikamuagizia chakula na mimi pia na akaanza kunipa mkanda mzima- maisha hayaa, bahati haiji mara mbili hata ikija haiwezi fanana na bahati ya kwanza

Akawa ananiomba nimuoe bila hata ya mahali, kweli nilikuwa sina mtu lakini nilimwambia nipo kwenye mahusiano

Bila hata kumlazimisha alikuwa anakuja yeye mwenyewe na kuniomba twende gest akanipe ninachotaka, nilikuwa naenda nayeye lakini sikuwa napenda maana nilikuwa naona kama namuonea vilee coz alikuwaga kama ananisikitisha hivi ukizingatia ana mtoto japo kuwa aliakuwa amekuwa ila nilikuwa sijisikii vizur

Baadae akarudi kwao maana hakuwa anaelewana na boss wake na sijui nn! Tatzo

Tunawasiliana whatsapp
 
Wengi wao hawajui wanataka nini?

Mtaani kulikuwa na kazichana kutoka Kijijini kalikuja kufanya kazi za ndani na boss wake alikuwa anamjali na kumlipa vizur sanaa

Nilimfukuzia sanaa mwisho wa siku nilimpata ila kwa mashart makali sanaa yaani sawa sawa na hakuwa mpenzi wangu na wakati tulikubaliana ni wapenzi, alinipa tabu sanaa na hakuwa mpenzi wangu wa kwanza na nilikapenda sanaa , zawadi , mahitaji yote nilikuwa nampa na nikamuomba nikatoe barua kwao akakataa akanambia tuwe tu kwenye mahusiano yeye hana mpango wa kuolewa Kwa mda ule- kwenye kipindi chote hicho alinipa tunda mara moja tu na kishingo upande- nilidumu nae miaka 5 , na nililala nae mara moja tu, kuna kipindi nilichoka nikampa mkono wa kwaheri nikaendelea na harakati zangu, kidogo nikaanza kuona mambo yangu yananinyookea sijui kama hakuwa ananifanyia ushirikina yule dada, ila ni kazur hatari

baada ya kupiga chini , mwaka kama na nusu hivi sikumuonaga

Kumbe aliitwagwa kwao na kulazimishwa kuolewa huko kinguvu na jamaa nasikia alitoaga mahali kwa Baba yake bila hata kumuona binti jamaa akawa anamtesa na kumfungia ndani akirudi kazini yeye anakula tunda tu hasubuhi tena anamla akitaka kwenda kazini anamfungia demu yeye ndio alikuwa utaratibu wake nafikiri alikuwa anahofia kuwa atatoroka aliishi nae hivyo kwa muda wa mwaka mzima mpaka binti kupata ujauzito na ndio kumruhusu aende akajifungulie kwao

Baada ya kurudi kwao ndio akapata nafasi ya kuwasiliana na boss wake ndio boss akamwambia akijifungua aje mjini na mtoto wake yeye boss atamsaidia kumlea yeye na mtoto wake- ila walikubaliana atoroke kwao maana kwao walikuwa kama wamemuuza vilee Kwa jamaa

Nnavyokwambia- nimekutana nae town, alinililia barabarani sijui kama vilee amenikosea kitu gani? Akiwa na mtoto mgongoni, watu wakaanza kutujalia ndio nikambembeleza Kwa kuogopa kujaliwa na watu wengi njiani

Nikatafuta kajisehemu cha Chipsi nikamuagizia chakula na mimi pia na akaanza kunipa mkanda mzima- maisha hayaa, bahati haiji mara mbili hata ikija haiwezi fanana na bahati ya kwanza

Akawa ananiomba nimuoe bila hata ya mahali, kweli nilikuwa sina mtu lakini nilimwambia nipo kwenye mahusiano

Bila hata kumlazimisha alikuwa anakuja yeye mwenyewe na kuniomba twende gest akanipe ninachotaka, nilikuwa naenda nayeye lakini sikuwa napenda maana nilikuwa naona kama namuonea vilee coz alikuwaga kama ananisikitisha hivi ukizingatia ana mtoto japo kuwa aliakuwa amekuwa ila nilikuwa sijisikii vizur

Baadae akarudi kwao maana hakuwa anaelewana na boss wake na sijui nn! Tatzo

Tunawasiliana whatsapp
Wana nyodo hao wakiwa baso hwajatiwa mimba....pumbavu zao
 
Back
Top Bottom