Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

DR SANTOS

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2019
Posts
14,478
Reaction score
32,729
Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.

Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.

👉Drama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa

👉Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.

👉drama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahili😀😀 ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hizi🙄😃 na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.

Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.

Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliaje😀

👉Drama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchicha😀😀.

👉drama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwa😀akaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondoka😹 kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli

Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.

Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.

ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
📌📌📌
 
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha
Uwe unahudhuria kwenye vikao... Kauli kama hii inatakiwa umsindikize na nauli mara 2 ya inayomfikisha kwao alafu akishatoka tu unatenga siku 3 za kujipongeza.
 
Kama siyo chai basi ni wazi kuwa tabia zake ni mbovu. Bila shaka ana tako kubwa na ndilo linalokufanya uwe treated kama shamba boy. Hiyo pisi inakudharau sana mkuu. Yaani mpaka inakulinganisha na maex zake? Kazi unayo!

tapatalk_1420855154213.jpeg
 
Hio anakana kata kata kwamba hakuongea hii ni red flag kwamba mda wowote ufalme unaanguka
Kama siyo chai basi ni wazi kuwa tabia zake ni mbovu. Bila shaka ana tako kubwa na ndilo linalokufanya uwe treated kama shamba boy. Hiyo pisi inakudharau sana mkuu. Yaani mpaka inakulinganisha na maex zake? Kazi unayo!

View attachment 3325947
Tako lipo la kawaida tu la kubonyeza kama parachichi
 
Hii nzuri hii

nimemwambia sahizi sibembelezi mtu ukitaka kuondoka ondoka tu kimyakimya 😀😀 nikirudi nisikukute
Aaaa wapi! Mahali alipokufikisha, huna huo ubavu. Hapa kandamnasi utajitutumua tu lakini ukifika home ukaona tako basi kimyaaa hata udharauliwe vipi. She got you psychologically cornered!
 
Hii nzuri hii

nimemwambia sahizi sibembelezi mtu ukitaka kuondoka ondoka tu kimyakimya 😀😀 nikirudi nisikukute
Ukimwambia haondoki sanasana atabuni mbinu za kukuchanganya zaidi... Jifanye kama unamhitaji sana ili apandishe kiburi chake aingie kwenye 18 umtoe kimyakimya bila kujua kama ndio bye bye, na akishaenda ndio ujipongeze.

Siku hizi wanaume tumekua kama dhahabu hivyo usikubali kuteswa na mwanamke.... Chunga tu usikute wewe ndio mwenye makosa
 
Mkuu the situation is critical nilivyowambia hivo hata yeye alishangaa alipoa ghafla hakuamini alichokisikia nikarudia mara ya pili hii kauli anasema haendi popote, akibeep mimi napiga
Aaaa wapi! Mahali alipokufikisha, huna huo ubavu. Hapa kandamnasi utajitutumua tu lakini ukifika home ukaona tako basi kimyaaa hata udharauliwe vipi. She got you psychologically engulfed!
 
Back
Top Bottom