Nazungumzia mwanamke akilalia tumbo alafu mguu mmoja anaukunja alafu dizain kama analalia ubavu kimtindo.Hasusi hio ndio kitu roho inapenda
Kwa mtazamo wangu na pia huko juu mabro ameshachangia mwanamke akishakufananisha na wanaume wengine tena wale waliokuwa nao huko zamani usifikiri kama una haja ya kuendelea kuishi naye labda moyo wako utakwambia nini cha kufanyaSalaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
[emoji117]Drama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
[emoji117]Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
[emoji117]drama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahili[emoji3][emoji3] ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hizi[emoji849][emoji2] na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliaje[emoji3]
[emoji117]Drama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchicha[emoji3][emoji3].
[emoji117]drama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwa[emoji3]akaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondoka[emoji81] kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
[emoji419][emoji419][emoji419]
Nirifikiri ni Mimi tu yananikuta haya,Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
👉Drama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
👉Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
👉drama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahili😀😀 ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hizi🙄😃 na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliaje😀
👉Drama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchicha😀😀.
👉drama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwa😀akaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondoka😹 kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
📌📌📌
Mkome MKOMAEE☺️ sababu mlipenda kuangalia uzuri wa nje badala umuombe Mungu akuletee mke mwema nyie mnahangaika kama ☺️☺️☺️☺️Nirifikiri ni Mimi tu yananikuta haya,
Nimeishaambiwa, bahili, Nina roho mbaya, richa ya kuokoa wadogo zake kutoka kijijini, nikawasomesha, sasa hv wana kqzi na wameolewa, nimewanunulia, mpaka viwanja huko kwao, Ila nikaitwa bahili, mchoyo, roho mbaya,! Ugomvi kidogo, nasepa zangu Mimi,
Nasubili Dogo wa, mwisho, aende bording,mjengo wangu Dom napangisha, naamia Arusha kwenye kajumba kangu,watoto wakifunga, A town, nione kama atanifata, asipokuja, good n well, na tafuta kitoto cha ki Arusha, nipumzike,
Wanawake hawa, mtu pesa, IPO, lakini wanakuletea drama hata bia unashindwa kunywa! Ukiwaza, huyu bitch anaweza akasepa akatelekeza watoto na wewe upo mbali
Kutomb@ raha sana Mzee wanguwewe jau sana bwashee hahaha
Kazi kweli kweliNirifikiri ni Mimi tu yananikuta haya,