Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 22,721
- 54,664
0kayNajua sina shaka labda awe ananiektia
0kayNajua sina shaka labda awe ananiektia
usiseme kwa sauti sana na wewe!Unajua unaweza ukakamia hadi round 4 ila hajafika climax?na round moja tu akaridhika?
Mbona nilishaweka neno uliponiita kwa mara ya kwanza tu?😂huyo brother Fanton Mahal nilitaka aje atie neno la ushauri
Tupige kimya au sio😂😂?usiseme kwa sauti sana na wewe!
NdiiiiiioooooTupige kimya au sio😂😂?
Kudadeki bora huyo, dharau haivumilikiBora kuwa single hawa wajinga hapana
Wangu ana wivu sijawah ona,najiona nateseka wakat dunian tunaish mara moja
Nikiwa nae hatak nisalimiane na mwanamke yeyote hata ninao fahamiana nao
Mwanamke akija kwenye biashara yetu akinichangamkia tu ni kosa,ugomvi
Nikipigiwa simu nisipopokea ni kesi
Nikipigiwa simu nikapokea ikasikika sauti ya kike ni tatzo anaanza kujiropokesha wakat hajajua hata aliepo kwenye sm ni nani,kuna muda ananiaibisha unakuta hata ninae ongea nae anasikia maneno anayoropoka
KUna muda huwa anajaribu kurusha ngumi wakat hata uwezo hana
Mwanzo wanakua vema unakuja kuona rangi zote wakati ukiwa ushasogeaMhh mbona mimi siwezi kuishi hata siku tatu na mtu wa hivi, wenzangu mnawezaje????
Acha niishi hivihivi maana nikioa nadhani kuna kitu kitaniharibia future najiona kabisa.
Bikira zinatafutwa kwa tochi these daysTatizo lilianza ple ulipooa m.ke ambae unajua kashagawa nje hlf ww ukaenda kumuoa
Siku nyingi hpa nasema kua Uzinzi haujawahi kumuacha mtu salama hua hamuelewi hii kauli ila inauma sanaa
Mimi mbona nimeoa bikraBikira zinatafutwa kwa tochi these days
Mwanzo wanakua vema unakuja kuona rangi zote wakati ukiwa ushasogea
Anakususia 😂Mzigo anatoa safi
Noted!Katika kitu ambacho huwa nasema na hapa nitakisema, ukiona kabisa mwanamke anakua hakupi nafasi ya wewe kusimama kama Mumewe basi kuna mtu amempa hiyo nafasi. Ignore her, Ignore and focus on adding values kwenye Maisha yako. Women are attracted not chased, kulazimisha aendelee kuwepo kwako ni kuendelea kumlea koboko mdogo ukijiaminisha atakua bora. Good decisions are always the hard ones, make one. Wanawake walivyowengi unahangaika naye..f*ck whatever people will say about your decision as long as hayo maamuzi ni kwa faida ya kesho yako Amua sasa acha kulialia hapa.