Ananuna,anaziraNeno kususa maana yake ni 'kuzira'!
Je alikuwa anazira kweli na alikuwa akizira nini?
Ama neno kususa umelitumia kwa kumaanisha 'kununa'?
Majibu ya namna hiyo hayawezi kutolewa na mwanamke mwenye nidhamu zake kwa mume.
Kilichobaki ni maamuzi yako tu.
Na kama unaona haya ama aibu kumuondoa, niite nisimamie zoezi la kumfukuza mchana kweupe.
Daah inauma sana asee. Nimeachana na kidoctor kimoja hivi kipumbavu sana. Mpaka unawaza hawa viumbe akili yao imekalia wapiBado hujaingia kwenye 18 za haya viumbe. Mimi nilishaapa hatokuja mwanamke ajue kiasi Cha pesa ninachoingiza wala ninachomiliki.
Najua wife hakua dream women wangu.Lakini hizo changamoto unazichukuliaje ? Naona ni mambo ya kawaida sana kama mpaka alikuwa anakusaidia....Baadhi ya mambo jirekebishe sio unabet kama mwendawazimu ,fanya iwe siri kama hauwezi kuacha ..
Hizo changamoto naona ziko ndani ya uwezo wako ,kuna namna mwanamke anakupenda ila unampuuza...Kweli anakupenda .Najua wife hakua dream women wangu.
Nipo na drive hapa huku na chat mke wangu ni dream women pia nampenda Sana namjua na nipo nae bila shinikizo
Let's love lead.
Muda huu Nipo HIGH Ngoja nipunguze ama niache kuchati.Hizo changamoto naona ziko ndani ya uwezo wako ,kuna namna mwanamke anakupenda ila unampuuza...Kweli anakupenda .
Sio rahisi kihivyo mkuu, labda kama ni kimada tu hawana mtoto wala hawajachuma wote chochote. Ndiomaana unaona mkisapiga hatua wanaanza majeuri wanajua huna pa kuwapeleka na ukileta fyoko unaanza Moja Kila kituFukuza huyo shetani! LEO, SASA HIVI!
Pole sana kamandaDaah inauma sana asee. Nimeachana na kidoctor kimoja hivi kipumbavu sana. Mpaka unawaza hawa viumbe akili yao imekalia wapi
Ila nyie majamaaa MNATESEKA SANAA.Tumia akili kuishi nae, ushamjua asikusumbue ndo yalivyo huko majumbani sio kwako tu
Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
👉Drama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
👉Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
👉drama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahili😀😀 ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hizi🙄😃 na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliaje😀
👉Drama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchicha😀😀.
👉drama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwa😀akaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondoka😹 kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
📌📌📌
Kosea vyote usikosee kuoa.. yaani mpo wawili afu mnaanza kujadili ma ex wenu tena anakulinganisha nao aiseee bro hapo umefeli sana either ulizipuuza tabia zake tangu awali sababu ya genye za kuoa ama umelitengeneza tatizo mwenyewe.Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
👉Drama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
👉Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
👉drama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahili😀😀 ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hizi🙄😃 na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliaje😀
👉Drama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchicha😀😀.
👉drama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwa😀akaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondoka😹 kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
📌📌📌
Mpwa akiona Nini🤣🤣Aaaa wapi! Mahali alipokufikisha, huna huo ubavu. Hapa kandamnasi utajitutumua tu lakini ukifika home ukaona tako basi kimyaaa hata udharauliwe vipi. She got you psychologically cornered!