Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Anajenga kwake! Hapo atahama akikamilisha malengo yake!

Kifupi anatafuta mtaji na anajenga nyumba
 
Hatasuka

kabisa kama 50 anabana mchicha hadi unamuonea huruma unampa tena hela akasuke😹😹
Amezoea kuwa kama Jumong.😂😂😂
Sema ni vile wanawake huwa hatuonyeshi hela zetu ila kwa kipengele hicho huyo ni bonge mchumi...huyo anacheza michezo na hela ya kusukia kitu ambacho sio kibaya sio slay qwini huyo
 
Nikweli kuishi na mwanamke ni kazi sana, lakini kumbuka amekuzalia mtoto. Hivyo sio vizury kumuita bitch.
 
Mnaishia Kwa kuviziana wote mnamakosa nyie ni watu wakutishiana ma x zenu tu
Mnabishana na vitu vidogovidogi sana vya kawaida sio vya kuchukulia serious kana kwamba uone Bora uwe single ni maneno ya kawaida hayana ukubwa ya kumchukia mtu au kutaka kuachana naye
Kuna maamuzi makubwa kwenye ndoa hasa maswala ya uchumi na uaminifu ila ulivovisema wewe ni vya kawaida sanaa
 
Tatizo lilianza ple ulipooa m.ke ambae unajua kashagawa nje hlf ww ukaenda kumuoa

Siku nyingi hpa nasema kua Uzinzi haujawahi kumuacha mtu salama hua hamuelewi hii kauli ila inauma sanaa
 
Back
Top Bottom