Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Adimu Sana mkuu au ndio Majukumu mkuu.Doctor yupo sawa akikazia na 🍻 akili zake zitamwagika kabisa
Adimu Sana mkuu au ndio Majukumu mkuu.Doctor yupo sawa akikazia na 🍻 akili zake zitamwagika kabisa
Hii nzuri hii
nimemwambia sahizi sibembelezi mtu ukitaka kuondoka ondoka tu kimyakimya 😀😀 nikirudi nisikukute
Nimishi nae sina kitu tunaanza maisha, toka tunazaa mtoto wa kwanza wa ujanani bado wanafunzi tuko 1st year, imagine mpaka namuoa, tuna panga chumba kimoja, tunakuja vyumba viwili, tunapanga nyumba nzima ..tunajenga kubwa ya kisasa over 70 millions nyumba tunanua gari ,viwanja , Man!!!! Ppaaaap!!!! Nakula cha mbavu.😂Nimekuelewa mkuu maana kama ni UMASKINI tumeuishi nae.
Muhimu sana. Ni ngumu kuwaelewa japo si wote na si mara zoteAsante Sana mkuu kwa kunipa ALART 😊
Asante dr.lizz 🙏Beauty story of true love.
May God blesses you and you are wife 🙏🏿
Aisee ni kama umekopi maisha yangu Yaani Hawa viumbe sijui wana nini Yaani drama zote anazokuonesha ww na mimi wangu ni ivo ivo kwa kweli wanawake ni kazi sana kuishi naoSalaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
👉Drama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
👉Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
👉drama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahili😀😀 ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hizi🙄😃 na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliaje😀
👉Drama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchicha😀😀.
👉drama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwa😀akaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondoka😹 kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
📌📌📌
Kabisa ndugu najitahidi kupambana na ukali wa maisha bro bila hivyo hali yangu itakua mbaya mno.Adimu Sana mkuu au ndio Majukumu mkuu.
Aisee shetani akibingilia Kati ni muharibifu kikubwa tusiache kusali/ kuswali kuombea ndoa zetu na familia zetu.Nimishi nae sina kitu tunaanza maisha, toka tunazaa mtoto wa kwanza wa ujanani bado wanafunzi tuko 1st year, imagine mpaka namuoa, tuna panga chumba kimoja, tunakuja vyumba viwili, tunapanga nyumba nzima ..tunajenga kubwa ya kisasa over 70 millions nyumba tunanua gari ,viwanja , Man!!!! Ppaaaap!!!! Nakula cha mbavu.😂
Muhimu sana. Ni ngumu kuwaelewa japo si wote na si mara zote
Kuna nini tena bro ? Tusikilizwe vip wakati tulishaonekana mapapai brother?Aisee Kataa ndoa wasikilizwe wana kitu
Sisi tulio katika ndoa tushayaona
Mkuu ☺️😊 wewe mtumishi upo kwenye system..sisi ma winga hapa kariakoo ndio tunapambana Sana ili tusije chekwa na walimwengu.Kabisa ndugu najitahidi kupambana na ukali wa maisha bro bila hivyo hali yangu itakua mbaya mno.
Yaani kwa kweli mna hoja msikilizweKuna nini tena bro ? Tusikilizwe vip wakati tulishaonekana mapapai brother?
Kabisaa. Mi wangu na ulokole alikua mlokole pia mpaka akanishawish nikaanza kusali na mimi pentecoste 😂😂 kwahiyo kama maombi yalikua yakutosha .wala simlaumu shetani kwwnye hili 😆😆Aisee shetani akibingilia Kati ni muharibifu kikubwa tusiache kusali/ kuswali kuombea ndoa zetu na familia zetu.
Ahahahahah Man, namshukuru the progress is far better, sasa nishafungulia Turbo. Kuna mtoto mmoja wa kinyakyusa (hawa wanyaki watakuja waniue) kashakwama hapa 😁😁 anazid kunifabya mpyaVery painful pole Sanaa Sanaa najua ushapona na utakua umesha kamatia mwingine ☺️😊
Karibu chamani mkuuMaamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena
Haaahaa,Kabisaa. Mi wangu na ulokole alikua mlokole pia mpaka akanishawish nikaanza kusali na mimi pentecoste 😂😂 kwahiyo kama maombi yalikua yakutosha .wala simlaumu shetani kwwnye hili 😆😆
Ahahahahah Man, namshukuru the progress is far better, sasa nishafungulia Turbo. Kuna mtoto mmoja wa kinyakyusa (hawa wanyaki watakuja waniue) kashakwama hapa 😁😁 anazid kunifabya mpya
Sema sasa kashanikuta nimebadili sheria za mcheZO, acha niendelee kumbandua tuone kituo kinachofuata ni wapi 😉
System yangu ni mimi mwenyewe mkuu😆😆Mkuu ☺️😊 wewe mtumishi upo kwenye system..sisi ma winga hapa kariakoo ndio tunapambana Sana ili tusije chekwa na walimwengu.
Aisome Intelligent businessman
😊☺️ HaaahaaSystem yangu ni mimi mwenyewe mkuu😆😆