DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,478
- 32,729
- Thread starter
- #161
Noma sana hawa wanawake hawajui ni vingapi tunarisk kwaajili yao wanachojua ni kuleta lawama tuMimi ni Drama ya Tano imeniumiza sana.
Kwanini?Why?
Mimi niliwahi shinda Mkeka nikamkalisha chini the nikamwambia hizi hela narudisha kwa Sportpesa umesema ni haramu.😀😀
Ikawa 13 hours in Benghazi😀😀😀😀
Unataka ukale na Malaya wako😀😀😀