G
guest-1790917349
Guest
UsiogopeNaogopaa, ππππ
Mi jmn ngoja nipambane na hawa weupe kwanza ππ
UsiogopeNaogopaa, ππππ
Unalo? Tuanzie hapo kwanza!We imekuwaje km ana takoπππ
Huyo kashapoteza imani sio rahisi kufurahia tena hayo mahusianoWatu 2 ambao washawahi kulala bila nguo wasikilize tuππ
π€£π€£Ama wapigwe risasi?
Weupe wa wapi? Real au koko? Mama mtumishi usijichanganyee. Oooh.Usiogope
Mi jmn ngoja nipambane na hawa weupe kwanza ππ
Nitalitoa wapi mie
πππReal bana sio Koko, naelewa haya mambo Niko makiniπWeupe wa wapi? Real au koko? Mama mtumishi usijichanganyee. Oooh.
Ila Weupe, sina mzuka nao kabisa sijui kwann hatam
πππππ
Weeeee all see the sign, but weeeee normally ignore itSalaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
πDrama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
πDrama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
πdrama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahiliππ ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hiziππ na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliajeπ
πDrama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchichaππ.
πdrama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwaπakaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondokaπΉ kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
πππ
Nimecheka hatari, hongera ma mtumishi, tuwakilishe vyema.πππReal bana sio Koko, naelewa haya mambo Niko makiniπ
Mi nawaelewa mnoo
Ngoja tusiharibu Uzi wa watu coca
Wewe ni mpumbavuSalaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
πDrama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
πDrama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
πdrama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahiliππ ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hiziππ na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliajeπ
πDrama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchichaππ.
πdrama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwaπakaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondokaπΉ kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
πππ
Mtu akikuambia tuachane, ukamng'ang'ania, akikuletea drama umezitaka mwenyewe.Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.

Ule weupe wao, ndo had kwa ududu, inakuaje hapo?πππ
Nawaza nasikia Wana vibamia sijui kweli π€ͺπ€ͺ
Siyo ERECTION ni ElectionNo reform no erection
Furaha moyoniSheria mkononi
Madako matale masoga sana, wabheja Sana wawa
13 hours movie kali sanaMimi ni Drama ya Tano imeniumiza sana.
Kwanini?Why?
Mimi niliwahi shinda Mkeka nikamkalisha chini the nikamwambia hizi hela narudisha kwa Sportpesa umesema ni haramu.ππ
Ikawa 13 hours in Benghaziππππ
Unataka ukale na Malaya wakoπππ
Coca mjingaπππUle weupe wao, ndo had kwa ududu, inakuaje hapo?
Mavuzi yanakua rangi ya hudhurungi, wee huogopi? Aiiiih
Hapanaaa, ni viba100 kweli. πππππ
πππ13 hours movie kali sana