cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Wasi cheat kwann? 😂😂😂😂Vipi na mashoga nao wanacheat?
Wasi cheat kwann? 😂😂😂😂Vipi na mashoga nao wanacheat?
Nna cha kusema? Namuonea huruma huyu Dr Santos.Coca ILO cheko unataka kusemaje? 😊
Aisee...kwa hiyo nao wanasaka mboo kubwa zaidi🤣🤣🤣🤣🤣Wasi cheat kwann? 😂😂😂😂
😂😂😂😂Mama Mtumishi punguza sauti kidogo, tuna watu humu JF, watachukua hii comment kutujaribu sie.
😂😂😂😂😂
Sheria mkononi
Naogopaa, 😂😂😂😂😂😂😂😂
Na pumbu mzigo wazibebe begani kabisaaAisee...kwa hiyo nao wanasaka mboo kubwa zaidi🤣🤣🤣🤣🤣
Kuachana nae n uamuzi sahihi sanaIts not too late to start over maamuzi nitakayochukua tusilaumiane
Aisee kumbe on the other team napo kuna vibweka vyake🤣🤣🤔Na pumbu mzigo wazibebe begani kabisaa
😂😂😂😂😂
Tena kuna vibweka utakaa una staajabu,Aisee kumbe on the other team napo kuna vibweka vyake🤣🤣🤔
E u imagine three guys fighting all becoz of a mans dickkk size🤣🤣🤣🤣🤣
Nashukuru Sana kwa ajiri ya mke wangu. Nilikua na option mbili moja ya mwanataaluma mwenzangu ambae tulikuaga SOUL MATE fanya mambo mengi Sana Ila nilipo mwambia anipe jibu ndani ya miezi miwili tuoane Ile siku imefika akajibu TUWE MARAFIKI yaan tuendelee kulana na kusaidiana bila kuoana.Nna cha kusema? Namuonea huruma huyu Dr Santos.
😂😂😂😂😂
Mke unae na una tamba nae. 👏👏👏👏Nashukuru Sana kwa ajiri ya mke wangu. Nilikua na option mbili moja ya mwanataaluma mwenzangu ambae tulikuaga SOUL MATE fanya mambo mengi Sana Ila nilipo mwambia anipe jibu ndani ya miezi miwili tuoane Ile siku imefika akajibu TUWE MARAFIKI yaan tuendelee kulana na kusaidiana bila kuoana.
Basi kimya kimya nikafanya arrangements za ndoa na huyu mkewangu nilie nae
Mke ambae AMEWAI kununua kuku kwao kwa pesa yake na kusema AM 4 REAL kawanunulia
Otherwise wise kwa ubusy na Majukumu ya kazi yaan sijui ndio ningekua nagongewa Sana so Mimi kwenye upande wa kuoa nilibahatika KUMPATA MWANAMKE AMBAE MIMI NDIO NILIKUA DREAM MAN WAKE.
kosea kujenga nyumba utabomoa Ila usikosee kuoa.
NILIVUNJIKA MGUU LAST YEAR AKAWA ANANITAWAZA KAMA MTOTO NA KUNISAIDIA KWA KILA HALI ANANIFICHIA UZAIFU WANGU NA TUNAPENDANA NI MFANO WA MAPENZI YA DHATI AMBAYO HATUACHANI MPAKA KIFO.
Ushauri mzuri sanaa huu. Auzingatie next time.Mwanmke akizud 20 yrs atakusumbua tafuta mwanmke asizd 21 na awe at least kafika form four . achana na hao wanawake wakiswahili
Kuna wanawake Wana bahati humu duniani lkn wanazichezeaSalaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
👉Drama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
👉Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
👉drama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahili😀😀 ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hizi🙄😃 na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliaje😀
👉Drama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchicha😀😀.
👉drama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwa😀akaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondoka😹 kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
📌📌📌
Ushauri mzuri sanaa huu. Auzingatie next time.
Mkuu min -me njoo tumshaur doctor Santos.
Pia tumpeleke 🍺 🍻 🍺 apunguze mawazo Mimi ntaagiza MAGIC MOMENT Ile kubwa ya 750ml pembeni MBUZI choma laini.
We umjuaaje km ana tako😂😂😂Aaaa wapi! Mahali alipokufikisha, huna huo ubavu. Hapa kandamnasi utajitutumua tu lakini ukifika home ukaona tako basi kimyaaa hata udharauliwe vipi. She got you psychologically cornered!
Usipo kua imara kiakili mapenzi yatakupelekesha hataree Sana Sanaa 😊Dr amekamatika kikubwa asikose kunywa Hennessey apunguze mawazo
Watu 2 ambao washawahi kulala bila nguo wasikilize tu😂😂Kuachana nae n uamuzi sahihi sana