Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,719
- 60,636
Huyo sio mwanamke sahihi wakujenga nae familia, bado ana ulimbukeni mwingi.Hii ishu bado haijapoa na ndio maana nimeleta thread nikitoka hapo nahamia kwa wazazi huyu anaondoka walahi
Bado anawasiliaa na ex zake na mmoja wapo alishamtafuna kipindi kabla hata hatujawekana ndani, hapo mama unadhani hata kama hamna fumanizi sichapiwi kweli?Hizo ni shida ndogo ndogo mno, hakuna hata kufumaniwa, acha gubu mwanangu
Hio nzuriHuwezi ukaapa kwamba mtakua nae pamoja kwenye shida na raha wakati ukiishiwa pesa anakudharau na kutoka na wazee wenye vihela vya mboga mjini!!
Usiape kuishinna mwanamke,sogea tuishi with anytime to terminate contract ndio the best way!!
Mimi nimegoma kabisa kumpa hatma ya maisha yangu mwanamke tuliekutana name ukubwani,anaweza kukufanya lolote na usiwe na Cha kufanya!!
Hivyo tu!
badala ya kuchezea akili kuishi na wwajinga wajinga, nishauri hizo akili zitumike kutengeneza pesa na kuishi maisha vile unataka.Tumia akili kuishi nae, ushamjua asikusumbue ndo yalivyo huko majumbani sio kwako tu
Mkuu sio kwamba hao wote wanaishi kwa kudharauliana?Kama siyo chai basi ni wazi kuwa tabia zake ni mbovu. Bila shaka ana tako kubwa na ndilo linalokufanya uwe treated kama shamba boy. Hiyo pisi inakudharau sana mkuu. Yaani mpaka inakulinganisha na maex zake? Kazi unayo!
View attachment 3325947
Mkuu huyo ni chaguo lako.The situation is very bad
Sasa kabla hatujafika huko mbele things should end hereAmini nakuambia kwa tabia hizo huyu mkeo watu wanakuchapia na yeye ndio ananunua watu ili wamrukie.
Na huko mbeleni unaweza kuja kupata ugonjwa mbaya sababu utakuja kumfumania