Kwamba wewe uachike na kusimamiwa na mwanamke mi niwe na frustration? Hayo matusi hapo umeandika ya nini? Moderator edit kwa heshima ya JF.Boss sio wewe ndio una frustrations
PoleSalaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
👉Drama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
👉Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
👉drama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahili😀😀 ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hizi🙄😃 na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliaje😀
👉Drama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchicha😀😀.
👉drama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwa😀akaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondoka😹 kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
📌📌📌
Kumbe huko kwenye ndoa mnapata tabu sana ...bora sie wa mlenda vuguvugu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.

Talibans waliona mbali sanaaa. Wale ni magenius kabisaMtaungana na Taliban muda sio mrefu , mwanamke ukimpa uhuru basi umekwisha ..Kama mnataka ndoa fuateni wanavyofanya Taliban.
Yote tisa, pole sana man ila hapo kwenye kubeti lazima mwanamke akudharau,Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
👉Drama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
👉Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
👉drama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahili😀😀 ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hizi🙄😃 na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliaje😀
👉Drama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchicha😀😀.
👉drama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwa😀akaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondoka😹 kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
📌📌📌
Hakupendi nyie mmeunganishwa tu na mtoto.👉Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
Bro ukiona hadi mtu naweka mambo public hivi basi jua tu ndani kunawaka motoUkimwambia haondoki sanasana atabuni mbinu za kukuchanganya zaidi... Jifanye kama unamhitaji sana ili apandishe kiburi chake aingie kwenye 18 umtoe kimyakimya bila kujua kama ndio bye bye, na akishaenda ndio ujipongeze.
Siku hizi wanaume tumekua kama dhahabu hivyo usikubali kuteswa na mwanamke.... Chunga tu usikute wewe ndio mwenye makosa
Kuna member ana itwa Tayana-wog ali nambia wanaume mna takiwa muwe wapole, nika mwambia nafwaaa.Ndoa sio kwa ajili ya wanaume dhaifu, huyo unatakiwa umtawale na sometimes unamchenjia unamuwashia moto ili next time akome ujinga asirudie, kakudharau ndo maana hana adabu anaongea lolote linalomjia mdomoni
Oya wako hivo hivo sio wakwako tuu.Salaam wapendwa baada ya kipindi kirefu, bila kupost uzi leo imebidi tu nipost maana mambo yamenifika hapa.
Ni huyu mwanamana niliyezaa nae, baada ya kukaa kipindi kirefu katika uchumba tulibahatika kupata mtoto mmoja nikaona isiwe kesi wacha niweke ndani mali ila toka hapo imekua ni mapicha picha na drama zisizoeleweka.
👉Drama ya kwanza
Ugomvi kuhusu ma ex
Hapa alikua ananikanyagia kwanini nawasiliana na ma ex? Nikamwambia shega nitawablock wote na kufuta namba zao lakini vipi wewe yule jamaa yako aliyekukanda kipindi cha uchumba mbona unawasiliana nae? Atakukanda tena na tena. Baada ya kumpiga hio spana akasusa
👉Drama ya pili
Kila tukipishana kauli kidogo anakimbilia kusema tuachane,mara ooh naondoka kwetu mimi always nakua mpole namuuliza shida nini? Nimekosea wapi? Tunasolve yanaisha.
👉drama ya tatu
Hii ndio kata stimu kabisa, aliniambia nimekua bahili😀😀 ma ex zake walikua wakorofi ila sio wabahili kama mimi siku hizi🙄😃 na hapo ni usiku tumeshafanya amefika kileleni, akaanza kuongea hizo pumba.
Sikumjibu chochote na asubuhi kulipokucha nikamwambia hivi unajua unaweza kua umeongea matusi bila kujua huku wewe ukiona umeongea points? Nikamwambia hio ni zaidi ya dharau mtu ambaye nawaprovide kila kitu unathubutuje kuniita bahili ukinicompare na na mabwana zako wa awali? Kama hela zingekua big deal si wangekuoa? Mbona walikutafuna na wakakuacha? Akasusa.
Ila kiukweli baada ya hili la mwisho naishi ila ndani sina raha yaani nikimuangalia moyoni nasema huyu bitch sijui ananichukuliaje😀
👉Drama ya nne
Kuhusu pesa utampa pesa kila mwezi bando utamuungia walau gb kumi na hela ya kusuka utampa ila hasuki wala nini na kama akisuka atasuka nywele za wanafunzi za buku, hadi elf 3 nilimwambia pia kama unaona hela haitoshi kucheza michezo yako utachukua dukani sio nikuone una struggle mwisho uhonge adi uchi lakini hasikii hata umpe 50 ya kusuka atasuka za elf 3 ikizidi sana ni 10 ama umkute amebana mchicha😀😀.
👉drama ya tano
Huwa na beti mara kadhaa nakula na mara nyingine naliwa😀akaanza hivi ni lini utacha kubeti, huoni kama unapoteza pesa nyingi? Niamuuliza haya wewe usiebeti pesa zako ziko wapi? nikamwambia nabeti ndio lakini wewe si nishakupa mahitaji yako yote? Ama kuna kitu umeomba hujapewa? Akanuna akaanza kusema naondoka kwetu nikamwambia ondoka😹 kwa kifupi mambo ni mengi naweza andika hata novel ila all in all ndoa ni utapeli
Naungana na Ndengaso Liverpool VPN dronedrake na members wa kataa ndoa kwamba ndoa ni utapeli.
Maamuzi niliyofikia ni kuomba mungu anipe nafasi ya kuwa single tena yaani kwa kifupi aniondolee huyu mwanamke kwenye maisha yangu hio ya kusema mpaka kifo kitutenganishe naona nakufa kabla ya wakati wangu.
ukipewa nafasi ya kuwa single usiichezee, kataa ndoa linda uchumi wako
📌📌📌
sio kupiga. Chini ni kupiga misumari kwenye ulimiAna redflag kibao na ashajua huna ujanja kwake ndio maana anaishi nawe hivyo, kitendo cha kurefer wanaume zake waliopita ilikuwa n sababu tosha ya kupiga chini.