Moja kwa moja kwenye mada.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kwa sasa kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya Pangani alimwambia Mme wake aoe mke mwingine sababu yeye yuko busy na majukumu watu walimsifia sana na kumuona ni mwanamke anaejali.
Cha ajabu jana bungeni katambulishwa kama mke wa Waziri wa maji Jumaa Aweso.
Swali langu:
Kwa sasa majukumu yake yamepungua hadi akaolewa tena?