Alimwambia mume wake aoe yeye yuko busy.

Alimwambia mume wake aoe yeye yuko busy.

....Halafu hakaukwi Ushungi...iepukeni sana zinaa, ama kwa hakika zinaa ni uchafu mkubwa mno kwenu....mwanamke mzinifu na mwanaume mzinifu wapigwe mawe mbele ya walio amini.....kabla hawajaoana waliepuka zinaa?
 
Moja kwa moja kwenye mada.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kwa sasa kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya Pangani alimwambia Mme wake aoe mke mwingine sababu yeye yuko busy na majukumu watu walimsifia sana na kumuona ni mwanamke anaejali.
Cha ajabu jana bungeni katambulishwa kama mke wa Waziri wa maji Jumaa Aweso.
Swali langu:
Kwa sasa majukumu yake yamepungua hadi akaolewa tena?
Hapo wakati anamwambia,alikuwa tayari kishaliwa na Aweso. Mapenzi ya kizigua yalimchachafya.
 
Moja kwa moja kwenye mada.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kwa sasa kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya Pangani alimwambia Mme wake aoe mke mwingine sababu yeye yuko busy na majukumu watu walimsifia sana na kumuona ni mwanamke anaejali.
Cha ajabu jana bungeni katambulishwa kama mke wa Waziri wa maji Jumaa Aweso.
Swali langu:
Kwa sasa majukumu yake yamepungua hadi akaolewa tena?
Msifukue Fukue makaburi[emoji30][emoji30]
 
Alivyoonja penzi la Mbunge na Naibu Waziri kipindi hicho ikabidi amtose Mwandishi/ mtangazaji wa habari, wanawake si watu wazuri kabisa
Si kuonja sema "aliposaliti ndoa kwa uzinzi" sababu si alikuwa Ke wa Mtu halali [emoji848][emoji19]
 
Ina maana yote haya ni kipindi kile cha Magu nini? Daa Wanawake bwana!!
 
Samahani wakuu naomba mwenye picha yake.
Huyo hapo, aliolewa na Abdul Mohamed yule jamaa aliyekua General manager wa Azam Sports, pia alifanya kazi BBC, ITV na Clouds. Mwanzo alikua anatangaza habari za michezo
JamiiForums-79877171.jpg
JamiiForums-1398949771.jpg
JamiiForums-79877140.jpg
 
....Halafu hakaukwi Ushungi...iepukeni sana zinaa, ama kwa hakika zinaa ni uchafu mkubwa mno kwenu....mwanamke mzinifu na mwanaume mzinifu wapigwe mawe mbele ya walio amini.....kabla hawajaoana waliepuka zinaa?
Hakuna Aya ya Qur'an inayosema mzinifu apigwe mawe
 
Back
Top Bottom