Akufukuzae hakwambii tokaIlikuwa gia tu 😂😂
InafikirishaSasa hapa utapewa majibu na nani?
Mwanamke mala….yMoja kwa moja kwenye mada.
Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kwa sasa kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya Pangani alimwambia Mme wake aoe mke mwingine sababu yeye yuko busy na majukumu watu walimsifia sana na kumuona ni mwanamke anaejali.
Cha ajabu jana bungeni katambulishwa kama mke wa Waziri wa maji Jumaa Aweso.
Swali langu:
Kwa sasa majukumu yake yamepungua hadi akaolewa tena?
Moja kwa moja kwenye mada.

Juma Aweso kabla ya kumchukua alimpima HIV?Aiseee
Hapana alisahauJuma Aweso kabla ya kumchukua alimpima HIV?
Hata miaka miwili haijaisha nadhaniJuma alikua anakula mzigo huo
Aliona huyu mwandishi wa habari atanipa nini? Ngoja nimtupe kiainaMchumba wako akikwambia hana mpango wa kuolewa kwa sasa na anaogopa kukupotezea muda jiongeze kuwa kuna kidume cha hadhi zaidi yako mbele ya moyo wake.
Sasa kwa yule mme aliyeshauriwa kuoa ati mke ana majukumu mengi ya pilikapilika za serikali alitakiwa ajiongeze maili 1000 mbele kwa kumpiga talaka 3 na kuvuta jiko lingine maana hakuwa mke tena huyo.
Yule kibongeNi yupi mkuu yule mwembamba au yule mwenye nyama nyingi?
Huyo huyo mwambaBBC,AZAM,msemaji serikali ya Zanzibar. Jamaa alipanda panda vyeo fasta fasta