Alimwambia mume wake aoe yeye yuko busy.

Zainab nimempenda bure, hii trick nishaichukua, huyu Jamaa akizingua namruhusu aoe halafu na mimi nasepa.....inapunguza lawama ndogo ndogo.
Kwan huyo ni wa kwanza kufanya hivyo?! Shida yenu huwa mnahisi kuwa unaweza pata vyote once u sell out and give into your selfishness.

Ukishakuwa binafsi utapata kwa haraka na utakosa kwa haraka. Tazama Jackline tuyabaliwe anavyohangaika hata hafurahii pesa alizotamani mwaka wa ngapi huu tokea mzee mengi afariki.

Anaishi kwa mashaka hana amani maana hajui when is the next attack will come and from what side.

Sasa huyu nae utaona kama hayo maisha atafurahia. Unless kama huyo mume wake wa awali alikuwa anamfanyia uovu ila kama alikuwa anaishi nae kawaida tu bila kumletea shida akamuua kumuacha sababu ya kutokutosheka then huko anapokwenda ni swala la muda atavuna maumivu na atakumbuka alichokosea. Hiyo nakuahidi.

Ukiona ulianza mahusiano na mtu mlikubaliana vizuri tu kwa akili yako timamu kuanza nae maisha then ukamgeuka baadae na kutaka mtengane kwa sababu binafsi then haupo sawa kichwani unahitaji intervention.
 
Pale ndio nimeamini uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu. Mimi yule hapana kwa kweli. Kajiachia kafumuka kama dude kawa..mpaka pua imenenepa ovyo. Ulafi wa kula ovyo ovyo
Na hapo ukute hana watoto kadhaa akipiga tu watoto jamaa anatema mzigo anatafuta goma jingine.
 
Duuu, kumbe ndio huyo..! Aliachika pia?
 
Kwa hiyo hapa kaolewa mke wa pili?
 
Saudia wanawake walikuwa hawaruhusiwi kufanya kazi nazani maweruhusiwa miaka ya hivi karibuni, 😂😂😂 mwanamke kukusaliti dhidi ya pesa ni kawaida sana Kwa Dunia ya Sasa
 
Hakikisha mwanao unamzidi kila kitu kabla ya kumuoa la sivyo kitunguu swaumu kinakuhusu.
 
Hujajua. Penzi linaelekezwa penye maslahi !

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hapo wakati anamwambia,alikuwa tayari kishaliwa na Aweso. Mapenzi ya kizigua yalimchachafya.
Kwa hiyo hapo kwa Aweso yupo chuo cha ngapi, maana nilisikia huwa vinahesabiwa vyuo au vidato......yaani ndoa ya kwanza chuo cha kwanza, anaachika anaolewa tena chuo cha pili hadi chuo cha kumi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…