Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
Huwaga ana ni block kisha ana ni un block mwenyewe.
This time around naingia WhatsApp kuna jina nilikuwa na search herufi ya mwanzo ya jina lake inafanana na ya huyu mtu, so likaja jina lake na tazama naona " Hi there am using WhatsApp".
But kwenye profile still bado hakuna picha yake.
Watalaamu wa WhatsApp hivi unaweza kuona " Hi there am using WhatsApp " Kwa mtu ambae ame kublock?