Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 1,821
- 3,980
- Thread starter
- #41
100 percent fact.Watanzania wengi wanajifanya wajuwaji kumbe hamna kitu,mtu kauliza swali simple tu badala ya kujibu swali wanakuja na maelezo mengi,kama hujiwi au huwezi jibu swali si bora unyamaze tu uokoe muda.
Ndio maana wengi wao wana feli maisha